Ask incubators tz
🏢 Address: P. O Box 75344 Dar es salaam, Mburahati
About This Business
-Watengenezaji na wauzaji mashine kutotolesha vifaranga -Huduma ya service kwa incubators mbovu -Watengenezaji wa cages Za kulelea vifaranga -Wauzaji vifaranga vya kroiler
Ask incubators tz tunatengeneza mashine za kutotolesha vifaranga za size mbali mbali ambazo ni full automatic kwamba zinajiendesha zenyewe katika control ya joto, control ya unyevu na kugeuza mayai Mashine zetu zote zina guarantee ya mwaka mmoja Mashine zetu zina kiwango cha utotoleshaji kati ya 85% hadi 90% SIZE NA BEI ELEKEZI MAYAI 90 = 380,000 Tsh MAYAI 120 = 500,000 TSH MAYAI 180 = 600,000 TSH MAYAI 264 = 750,000 TSH MAYAI 352 = 850,000 TSH MAYAI 440 = 950,000 TSH MAYAI 528 = 1200,000 TSH MAYAI 704 = 1300,000 TSH MAYAI 880 = 1400,000 TSH MAYAI 1056 = 1500,000 TSH mawasiliano zaidi 0717523626 call/whatsapp
Contact Information
No Products Listed Yet
This business hasn't added any products to their catalog yet.