Bidhaa za usafi, afya na kilimo.
🏢 Address:
About This Business
SUPER 10,Hii bidhaa ni kiboko ya uchafu sugu Kama vile masinki yaliyofubaa. G1LAUNDRY,Huyu napenda kumuita mkombozi wa kinamama wanapofua nguo, inangarisha nguo bila kutumia nguvu nyingi CARE, kiboko ya U.T.I sugu,miwasho na mapunye L.D.C,inaondoa uchafu mwilini unapoogea na kuuwa bacteria SUPER Gro,Huyu ni mkombozi kwa wakuliwa kwanza unapopiga dawa ya kuuwa wadudu Kwenye mmea na ukachanganya na super gro hata mvua ikinyesha dawa haiwezi kutoka, cha pili inahifadhi maji Kwenye ardhi hadi leya ya tatu.Mkulima hawezi kupata hasara anapotumia Super gro
Bidhaa zetu zinaleta matokea mazuri sana unapozitumia,Huwezi kujutia thamani ya pesa yako unaponunua bidhaa zetu kutoka NEOLIFE
Contact Information
No Products Listed Yet
This business hasn't added any products to their catalog yet.