Bright Castor Oil
🏢 Address: Dodoma Tanzania
About This Business
Haya ni mafuta ya Nywele yanayo tengenezwa kwa kutumia mbegu za mnyonyo. Mafuta haya ni Asilia hayana chemical yyte
*<:BRIGHT CASTOR OIL<:* Karibu Ujipatie Mafuta Bora na sahihi kwa Matumizi ya Nywele zako, *Bright Castor Oil.* Mafuta haya yanafaida nyingi saana hasa kwa upande wa Nywele na ngozi *<:BRIGHT CASTOL OIL<:* Yana faida zifuatazo - =I- *Huchochea nywele kukua kwa haraka* =I *Huzuia nywele kukatika* =I *Hujaza nywele na kuzifanya kuwa nzito* =I *Huondoa mba na muwasho* =I *Huondoa magaga miguuni* =I *Hutibu vidonda kichwani* =I *Huondoa michirizi* =I *Hukuza kope na nyusi* =I *Hutumika wakati wa chua maumivu ya viungo.* =I *Huotesha nywele kwa wenye vipara* =I *Hutumika kwa masaji* =I *Hurainisha ngozi* =I *Hurainisha lips na kuwa zenye mvuto zaid* <2<2<2<2<2<2<2<2 Bei zetu zinategemeana na ujazo wa chupa *Ml60---Tzs5000* *Ml120---Tzs10000* *Ml250---Tzs15000* Wasiliana nasi kwa simu namba *0717449233* *0744741903* *Karibuni sana<:* ><
Contact Information
No Products Listed Yet
This business hasn't added any products to their catalog yet.