📍

Mtaa · Dar es Salaam

Biashara za Tabata

93 biashara
Nyumbani Biashara Tabata
🔐 Please sign in to add your business to this ward directory.
Biashara za Tabata 93 biashara
CITY VET SERVICE

Tunatoa huduma za mifugo zikiwemo. 1. Matibabu ya mifugo na ushauri. 2. Tunauza vifaranga vya Broilers, Layers na Kuroiler. 3. Tunauza vifaranga vya kanga na bata mzinga. 4. Tunatoa elimu na mafunzo ya ufugaji. 5. Tunajenga mabanda ya mifugo.

Est. 2021 📍 Tabata Kisukuru
BIBO FIRE

Sales, maintainance and Installation of Fire Extinguishers

Est. 2018 📍 Matumbi
Dstv Online Services

Tunauza vingamuzi vya Dstv ni Vipya kabisa. Utasajiliwa kwa majina yako na namba yako ya simu. Utaletewa na kufungiwa hapo ulipo(nyumbani kwako) na pia utapata kifurushi cha Ofa mwezi mmoja. Kwa maelezo zaidi piga 0716330660.

Est. 2018 📍 Tabata Bima
fridge and a/c

natengeneza fridge aina zote na ac .pia popote nakuja kwa nauli yangu

Est. 2007 📍 tabata segerea
lilcon_ladies_shoes

Nauza viatu rejareja mteja atalipia usafiri kutumiwa mzigo Namba ya simu 0654907000

Est. 2021 📍 Tabata Segerea kituo Mangumi
Ramlahfashion

Tunauza nguo aina zote,gauni,abaya,dashdash,mashuka,mapazia,pochi,viatu n.k

Est. 2021 📍 Tabata segerea
nasreen collection

nasraomary40@gmail.com

Est. 2020 📍 tabata shule
KAONEKA BIASHARA

FURNITURE

Est. 2021 📍 Dar west
IRA distributor

bidhaa za usafi wa jikoni,masofa ya vitambaa na leather,masink na pavements aina zote,tiles,masufuria,na vioo vyote sabuni inayofua yenyewe

Est. 2020 📍 IRA
TIBU MENO BILA KUNGOA

Kutibu meno

Est. 2021 📍 Tabata Matumbi
REMGRO COMPANY LIMITED

Dealing with supplying oil and lubricants, also spare parts for scania

Est. 2021 📍 Tabata DAMPO
FUNDI MAJIKO YA GASI NA UMEME AINA ZOTE

MAJIKO

Est. 2014 📍 TABATA
mamaqailah_store

Bishara yangu ni ya Online, Nauza nguo kwa jinsia zote,mikoba,Viatu kwa jinsia zote,Urembo,nk

Est. 2019 📍 mama qaila
Meno _tanzania_ 2020

Huduma zote za kinywa na meno tu.

Est. 2018 📍 Tabata segerea
Emmanuel magese meshack

Mimi muuzaji wa mari mbalimbali Kama vile #trubai #kufuli #rola za rist Mali nyinginyingi

Est. 2018 📍 Karia koo
Thebest online tv

Ni online tv channel ambayo inajihusisha na utowaji wa taarifa mbali mbali nchini na nje ya nchi, ikibezi kwenye upande wa burudani

Est. 2017 📍 Tabata Aroma
Kuku point

Nauza kuku fresh wa kienyeji toka Singida,watam .derivery ipo popote pale karibuni sana.bei za kawaida sana 16000,17000,18000.karibuni sana.

Est. 2019 📍 Kinyerezi mnadani
Pata_kuku_wa_kienyeji

lucatumbo@gmail.com

Est. 2017 📍 lucatumbo@gmail.com
Kilimo Cha vitunguu na masoko

Mimi Ni mkulima ambaye nafundisha watu kulima vitunguu maji na kufanya biashara ya vitunguu

Est. 2017 📍 Tanzania
UJENZI IMARA

imarabati@gmail.com

Est. 2010 📍 imarabati@gmail.com
Chris vyombo store

christianmsanagi45@gmail.com

Est. 2014 📍 christianmsanagi45@gmail.com
Jannie kids &martenity store

Tunauza mahitaji ya mama mjamzito na mtoto kuanzia wa siku moja na kuendelea .

Est. 2017 📍 Segerea ,chama .
sasina furniture

furniture

Est. 2021 📍 tabata shule
loson kienyeji chicken

mtuilewis@gmail.com

Est. 2020 📍 0756302144
Amudi furniture

UUZAJI NA UTENGENEZAJI WA THAMANI ZA OFISINI NA MAJUMBANI (FURNITURE)

Est. 2019 📍 Baracuda
kiboko furniture

balilivenas@gmail.com

Est. 2021 📍 balilivenas@gmail.com
Africa1events

Kupiga picha na kuchukua short video kwenye location kwa aina yoyote ya tukio (for all types of events)

Est. 2017 📍 0752215932
DECORATION

gypsum decoration

Est. 2010 📍 0657566230
weight managment & costmetis

mariam.salmin27@gmail.com

Est. 2021 📍 mariam.salmin27@gmail.com
Dstv sell

Offa offa Jiunge na kisimbuzi chako cha dstv kw sh 79000tu Upate kuunganishwa na kifurushi chako cha family mwezi mzima bure Ufundi sh 20,000 Usafir ni bure popte Ulipo ndani ya dar es salaam tunakuletea mpka mlangoni kwako malipo baada ya kufungiwa

Est. 2021 📍 Tabata bonyokwa
Medy furniture

Biashara yangu inajiusisha na utengenezaji wa furniture za majumbani

Est. 2020 📍 Barakuda
Zulfa- collection

Tunauza bidhaa mbalimbali za urembo na nyumban ,i.e nguo za mitumba za dukani ,na bidhaa za nyumban na urembo

Est. 2020 📍 Kinyerezi-kibaga
Nici Tradings

Tunasaidia kununua na kufanya import ya household items(friji, majiko, washing machines, birika n.k) na electronics (radio, simu, laptop, smart watches, headphones/earphones n.k) kutoka U.K

Est. 2020 📍 Tabata relini
MTUI PROMAX

Mavazi, Blender

Est. 2020 📍 0753036642
STEMMONATURAL_Products

Health & Beauty

Est. 2017 📍 STENAPO
MASAI FURNITURE TZ

daudipupni@gmail.com

Est. 2020 📍 Liwiti Posta Tabata
Furniture

Habarii ..jipatie bidhaa bora na imara kwa bei nafuu kabisa tunapatikana tabata barakuda na mteja unaletewa bidhaa popote ulipo ndani ya dar es salaam kwa mawasiliano zaidi piga 0782949410 au 0683716033

Est. 2020 📍 Barakuda
irene biashara

urembo na pochi na sendo

Est. 2020 📍 tabata
Georges Agri service

Georges Agri Service ni wauuzaji wa nafaka kwa jumla na rejareja.

Est. 2020 📍 Kimanga mwisho
Maos_collection

Maos collection ni wauzaji wa Mavazi ya kike kwa ujumla na Mavazi ya kiume pamoja na handbags.

Est. 2018 📍 Tabata liwiti karibu na Tanesco
mco lingerie store

uuzaji w nguo za ndani kwa wanawake...wanaume na watoto...brazia chupi boxer swimming custome soksi na kadharika kwa bei nafuu sana

Est. 2020 📍 segerea
Jojoz beauty salon

Tunatoa huduma za kusuka,make up kwa maharusi na watu wa kawaida na pia tunaset nywele

Est. 2016 📍 Jojoz beauty salon
Afya Mtambuka Online

Afya

Est. 2018 📍 Hamisi
Dadawadogo_organic spice

We deal with all organic spices, we have Pilau masala, Tea ? masala, Mchuzi mix,Garlic,viungo mixer etc. very nice smell and good test results of our products . Come and shop with us you will thanks me letter.We sale for retail wholesale.We do delivery ?.

Est. 2020 📍 Tabata bima Umoja road
NEMU ELECTRONIC,SERVICES & GENERAL SUPPLIES

-Kuuza vifaa vya umeme aina zote -Kuweka mfumo wa umeme majumbani na viwandani. -Ukarabati wa mfumo wa umeme . -Kutoa ushauri wa bure kuhusu mfumo wa umeme majumbani na viwandani.

Est. 2017 📍 Kisukuru
mtumba quality

nguo za mtumba za watoto

Est. 2019 📍 Tabata kimanga
Uremboofaida

Tunapendezesha kupitia urembo mbalimbali pia tunashauri na tunatoa mafunzo

Est. 2020 📍 Tabata bima
online shoes selling

Najihusisha na kuuza viatu quality vya mtumba na bidhaa mbalimbali za kike na kiume kwa bei nafuu kabisa.

Est. 2020 📍 tabata kisiwani
Naby graphifix

logo design & graphifix ,na mabango ya Biashara send-off na birthday

Est. 2020 📍 Every where
hood glass and alluminium works

Ni watengenezaji wa madirisha, milango, partition za maofisi, makabati ya chips, makabati ya biashara mf. sonara, maduka ya sim, pia tunatengeneza mashelfu ya phamacy vioo vya saloo pia tunauza na vioo vya aina zote

Est. 2004 📍 tabata muslim
Renee asilia

urembo,tea masala,bidhaa za usafi na afya

Est. 2020 📍 maridadi lodge
Eiman Food Point

Waandaajii na wauzaji wa bidhaa mbalimbali za vyakula. kama vile ONION HOT CHILLI.. pilipili pendwa ya kitunguu PUMPKIN SEEDS FLOUR... unga wa mbegu za maboga wenye mchanganyiko wa pilipili mtama MIXED NUTS FLOUR... unga wa mbegu. ambazo ni korosho, almond na pistachio EIMANS LISHE... unga wa uji wa watoto, wajawazito ,wamama wanaonyonyesha na watu woote. wenye mchanganyiko wa mtama mwekundu, viazi lishe, korosho na iriki ALMOND FLOUR. unga mzuri wa almond kwa ajili yako na mtoto wako. NUTS.. zotee kama almond ,pistachio korosho, mbegu za maboga, walnuts, brazilian nuts n.k

Est. 2020 📍 Tabata Kimanga
QONA PRODUCTS

sabuni za maji aina zote,shower jelly,multipurpose,disinifectant,hand wash,bleach au dawa ya madoa kwa nguo nyeupe,tiles cleaner maalum kwa masink,jakuzi n tiles ziizoubaa. Mafuta mwali ya nazi kwa matumizi ya kupikia,kupaka mwilini na kichwani,kunywa nk.

Est. 2020 📍 Barakuda
Building material

Mabati Bora ya rangi IT 5(mgongo mpana) corrugated ( mgongo mdogo) na versal tile (bati mfano wa kigae na bati za vipimo mahalumu g30 na g28.

Est. 2014 📍 Tabata
kuku point tabata

Nauza kuku wa kienyeji pure,bloiler na waliokoma kutaga

Est. 2020 📍 tabata jiandae
SkinCare

Tunauza na kutoa ushauri wa ngozi yako

Est. 2020 📍 Tabata Bima
RICHARD ELECTRICAL SERVICE PROVIDER

Electrical services

Est. 2013 📍 Mawenzi
muhombo_furniture

furniture aina zote

Est. 2013 📍 tabata magengeni
Northern Breeze Hotel

Northern Breeze Hotel inayopatikana Tabata Madukani tunatoa huduma za vyakula vinywaji na malazi... vyumba vyetu vinaanzia 40,50 & 60 ni bed and breakfast pia ni free Wi-Fi Usalama ni mkubwa na pia tuna CCTV camera, huduma za kuoshewa magari (car wash) na parking zinapatikana nk....

Est. 2013 📍 Tabata Bima kituo Cha Dukani
AJ MEDIATZ

TUNATENGEZA NA KUANDAA VIPINDI VYA ONLINE TV /MATANGAZO YA BIASHARA KUSHOUT VIDEO MBALIMBALI KUPIGA PICHA MBALIMBALI LOGO ZA BIASHA KUTANGAZA BIASHARA KWA KUFANYIA VIDEO ZA COMEDI PIA MATAGAZO YA SAUTI N.A. HUDUMA NYINGINE NYINGII #HEREFORU

Est. 2019 📍 Aj MEDIA mangumi street
phonesarena_tz

Get your dream phone from our store

Est. 2018 📍 Bima
biashara Tizee

Napatikana Instagram kwa jila biashara la @biaahara_tizee Nauza nguo aina zote vitenge saa viatu. Kila kitu yaan bidhaa zote na hii ni online ukiipenda kitu unaagiza kisha kama uko dar nakuletea kama uko nje ya dar nakutumia

Est. 2020 📍 Tabata /Kariakoo
Tonies Cakes/Tonies baby shop

Tunajihusisha una uokaji wa keki aina mbalimbali kwa sherehe Aina zote Pia tunauza nguo za watoto wadodo umri kuanzia siku moja hadi miaka mitano (5)/

Est. 2018 📍 Tonies Cakes
Dstv

Uuzaji na utengenezaji wa madish ya dstv ndani ya mkoa wa Dar es salaam na pwani.

Est. 2013 📍 Tabata bima - Nyantare bar
Pablo_Watches_showroom

Dar es salaam Trusted E_commerce Wauzaji wa saa original,kutoka Brands Mbalimbali

Est. 2017 📍 Makumbusho
Crips/Bites

UTENGENEZAJI NA UUZAJI WA BITES... (potato Crips, banana Crips,Tambi za dengu,Tambi za mihogo,chauro,Magimbi,karanga roasted). Instagram @anko_temba @ackley_temba

Est. 2019 📍 Tabata shule
Luckie _glam

hair dressing. Makeup za aina zote, Tunauza accesories za mabibi harusi.

Est. 2019 📍 Tabata shule green light hotel
Matunda Spesho

Ni wauzaji wa matunda ya Strawberry, Raspberry, Blackberry, Blueberry, Gooseberry na Zabibu kwa bei ya jumla na rejareja. Tunapatikana Tabata Posta

Est. 2019 📍 Liwiti
Dstv Installer (Home satellite Dish)

Tuna uza Vingaamuzi vya Dstv. Tuna fanya installation/ufundi/ kufunga Dish za Dstv pia tuna Fanya Marekebisho kama Dishi lako lina Sumbua eidha lina katakata/scrutch kipindi cha mvua au kawaida, Tuna hamisha Dish kutoka sehemu moja kwenda Nyingine. Pia tuna uza Spare za madishi/ kama kifaa kime haribika bas tutakuuzia kinginecha Dizaini hiyo. * Pia tuna funga Tv ukutani(Tv bracket wall mount) *Pia Tuna Funga Madishi Aina zote (Azam_Tv, Dstv, Zuku ,Startimes , Ting Hd & Continental)

Est. 2015 📍 Njia panda Mbuyuni
Flower Tours&Safari

Tours&Safari ZanzibarTanzania. *SerengetiPark *SaadaniPark. *NgorongoroPark *SelousPark *TarangirePark *ManyaraPark *MikumiPark *NationalPark *StonetownTour *SpiceTour *MnembaIsland *BlueSafari *JozaniForest *DolphinTour *FishingGame *villageTour *NungwiSunset *NungwiTour *Therock&PongweRestaurant *NationalMuseums *Visit Local Hospital&School

Est. 2020 📍 dar es salaam
Smakusy Fish products

Samaki wabichi sangara toka MWANZA bei Tsh 6000 @1kg

Est. 2020 📍 Kisiwani Bonyokwa
Pangodotcom

Kusaidia watu kufikia malengo yao juu ya kuuza,kununua, kupangisha vitu vifuatavyo viwanja,nyumba, godowns na Mashimba

Est. 2019 📍 Posta
Kim online supplier

dealing with delivery of bites such as ubuyu, peanut butter

Est. 2020 📍 tabata road ,near by skyhall
nihla ally mtumba grade one

nauza blauz za mtumba grade one ni best quality ever hutajuta kununua zipo kila size na kila designs.

Est. 2020 📍 tabata kimanga
G_manukato

Tunauza perfumes na vipodozi aina zote

Est. 2018 📍 Tabata relini/Mataa
baibulafurniture_255

niwatengenezaji wa furniture za ndani zenye ubora na pia tumezingatia mateoreos mazuri

Est. 1992 📍 tabata shule dar es salam
Griphin Alluminium Service

Griphin Aluminium Service Tunajishughulisha na utengenezaji wa Aluminium kama Milango, madirisha n.k

Est. 2014 📍 Tabata
Apopo usafi na afya

Jipatie vifaa vya usafi wa majumbani kwa bei poa.

Est. 2020 📍 Online business (Tabata)
Furniture za ndani

watengenezaji na wauzaji wa furniture zote zandani na kwa bei nafuu kabisa

Est. 2020 📍 tabata bima umoja road
jusakb

We are dealing with selling of electronic devices

Est. 2020 📍 Tabata,ilala.
Pure oil

Pure castor oil /mnyonyo ni mafuta ambayo hayajachanganywa na chemical yoyote Husaidia kukuza nywele,kuondoa mba, mapunye, rashes kuifanya ngozi kua laini√Pure coconut oil √ husaidia kuondoa michirizi,√ hufanya mtoto asipate miwasho√ huondoa mba√

Est. 2019 📍 Tabata segerea
J M GAS SHOP AND ASSESORIES

Tunahusika na kuuza Gas na majiko ya gas na kutengeneza majiko mabovu na kuuza spea zake

Est. 2010 📍 J.m Gas shop
Reengait

Nauza Nguo aina zote viatu aina zote pochi chupi boxa vest kwa bei ya kawaida sana popote zinakufikia bidhaa zetu

Est. 1993 📍 https://chat.whatsapp.com/Bm6G18qWroKG87WGcjfqRp
Bob Abby Breezy

phones , smart watch , earphones

Est. 2020 📍 tabata , segerea
Theddy kidoka

Tunabidhaa za virutubisho mwilini, inasaidia kuongeza kinga za mwilini na kupata vitamins na madini yaliopungukiwa mwilini, na kukulinda na magonjwa Atarishi.

Est. 1978 📍 victoria Tanhouse Building 2second floor
Soso Fresh Dalali

kwa uhitaji wa upangishaji nyumba apartment flame za biashara kununua nyumba viwanja mashamba godauni yard nk suluhisho ni sosofresh

Est. 2020 📍 sosofresh
brigita collections

Tunauza nguo kutoka Uturuki za wanawake za ofisini, casual na za jioni , handbags na shoes

Est. 2015 📍 Tabata Bima
GLO-AFRICANA MANUFACTURERS

Watengenezaji wa mafuta mwali ya Africana. Mafuta pekee ya nazi ambayo hayapikwi, hivyo yametunza virutubisho vyake vyote na hivyo ni mazuri kwa Kunywa, kupikia na kupaka.

Est. 2015 📍 Tabata
Independent IT Specialist

Computer Maintenance (Hardware and Software ) Network installation CCTV Camera Installation Data Recover and others

Est. 2020 📍 Dar es salaam
Herry Castor Oil

Ni mafuta ya mnyonyo yanafanya kazi ya kukuza nywele kuondoa mba kufanya nywele zisikatike na kujaza nywele kwa fedha za kitanzania ni sh 5000 = tu na delivery ni 2000 =

Est. 2019 📍 Mwananchi Tabata
NESTER

Tunauza Unga wa Lishe kwaajili ya watoto vijana na wazee. Una Mahindi Ngano Mtama karanga na mbegu za maboga.

Rafiki productz

We are selling organic natural products...

Est. 2019
Sweet dreamz cakes

Karibu sweet dreams cakes upate cake za maharusi kitchen party birthday au tafrija mbalimbali pia tunauza cake za ladha tofautitofauti na bei zetu ni nafuu zinaanzia 20 000 na kuendelea

Est. 2018 📍 Tabata relini ⭐ Verified

Tazama biashara za mtaa mwingine

Biashara Zote →