Salma_homecleaning
Tunauza bidhaa za usafi na kilimo ambazo hazina chemical yoyote ile na ni rafiki wa mazingira.
Bidhaa za usafi ambazo zinahumika kuondoa uchafu sugu na lain kwenye frig ndan|frypan|madirisha/sink/Tiles/ siti za gar | masofa| zulia.
Est: 2021
Est: Ukonga DAR-ES-SALAAM
Zubu Decoration
Karibuni Zubu Decoration kwa huduma ya Mapambo na kukodisha vifaa vya Mapambo kwa Ghalama nafuu kabisa
Est: 2017
Est: Ukonga Mombasa Stend ya zaman ya mosh bar
Magodoro imara kwa Bei Nafuu
Karibuni mjipatie Magodoro imara
Yenye warranty kwa bei punguzo na nafuu zaid.
Usafiri ni ni juu yetu( FREE DELIVERY) .
Est: 2017
Est: Ilala
Furniture za Chuma
Vitanda,Dreesing table,viti,meza,makabati,Mageti,madirisha,Enga za mikoba na viatu nk
Est: 2018
Est: Majumba sita Stand ya Bus
Ujasiriamali
Ninafanya biashara ya kuuza vitenge. Rejareja na kukopesha vitenge
Est: 2015
Est: Ukonga mwembe madafu
IMANI PLUMBING WATER POINT
IMANI PLUMBING WATER POINT najihusisha na utengezaji wa ma Bomba majumbani viwandani
kwenye Company n.k,karibu sana
Est: 2009
Est: UKONGA MOMBASA
Ufugaji !!!
Mafunzo ya ufugaji wa kisasa asa kuku wa aina zote pia tunauza vifaranga na incubator za kutotoleshea popote ulipo tunakuletea karibuni sana.
Est: 2015
Est: Banana