Mtaa • Dar es Salaam

Biashara za Buguruni

21 biashara
Nyumbani / Biashara / Buguruni
Please sign in to add your business to this ward directory.
Biashara za Buguruni 21 biashara
tumaini hardware

Tumaini401@gmail.com

Est. 2020 Tumaini401@gmail.com
NELLY MUSIC CENTRE

Dealers in Phones and phone accessories World movies Computer and computer accessories

Est. 2012 Rozana
Mom teen tranding bags

Nauza handbags kali jumla na rejareja kwa bei nafuu sana

Est. 2017 Kariakoo mtaa wa congo na narung’ombe
Saadi matelephon

Simu

Est. 2017 Mnyamani msikitini
Divine gifts

Gift shop

Tabata dar es salaam
BULEMBO TRADERS LIMITED

CLEARING AND FORWARDING SERVICES AS WELL AS INSURANCE AGENCY

Est. 2004 Tazara mfugale fly over
Geelux store

Wauzaji wa mafuta asilia ya castor oil na Wauzaji wa fresh homemade juice Tunafanya delivery kwa bei nafuu kabisa Karibuni

Est. 2020 Tu napatikana tabata Instagram handle geelux_store
Champion super furniture

utengenezaji wa vitanda vya sofa na uuzaj wa vifaa vya ofisini viti na meza

Est. 2021 corner bar
MAGNETIC MUFINDI TIMBER

Wauzaji wa mbao toka Mufindi kwenda mikoa yote na nchi jirani

Est. 2019 Mufindi Magnetic Timber
BANTU HARDWARE

Mbao za dawa (treated) Bati za rangi

Est. 2013 Buguruni Chama
Top Choice

Camera

Est. 2020 Malapa
Allmac Tanzania Ltd

Ni wauzaji wa bidhaa mbalambali za kutengenezea gypsum cornice

Est. 2020 Kariakoo
hakika ice cream machines ltd

Inajihusisha kuuza mashine mbali mbali mfano mashine za kutengenezea ice cream, chokostic,barafu,juice,nk

Est. 2019 buguruni sheli
Karasim timber

Tunauza mbao aina zote tupo buguruni chama karibu

Est. 2019 Buguruni chama
Dagaa wa kukukaanga Toka mwanza

Pata Dagaa Safi waliokaangwa toka mwanza, ndoo kubwa 45000,ndogo 30000 na kisado 15000,,tupo buguruni Sheri,, no 0689595191

Est. 2017 Buguruni Sheri
INAS COMPANY LTD.

we deal with sea food, fruits and beef processing (biltong producer/ meat snacks both flavours chill and non chill)

Est. 2018 malapa
Singe Ltd

Tunauza/kusupply mbao,marine board, nondo, misumari,wires,mabati na vifaa vinenevyo vya ujenzi

Est. 2017 Dar es salaam
TUJARI AFYA ZETU KWANZA

Matatizo mbalimbali kama Kisukari, Pressure,uvimbe kwenye kizazi,tezi dume, cancer aina zote, matatizo ya macho, matatizo ya moyo ,magojwa yote ya uzeeni kama (kuvimba miguu, miguu kuuma ,mgongo kuuma)...................n.k

Est. 2019 Mlimani city
DRAGON MABATI

Kiwanda Kizalichasho Bati Bora Zaid Tanzania Kw Gharama Rafiki Kwa Mtanzia. Bati za Kisasa Aina Zote

Est. 2020 Matumbi
Mama farhana house of vijora

Tunauza vijora vya mombasa kwa bei ya jumla na reja reja.jumla 12000 kijora na mtandio wake,reja 13000.tunafunga sare za shughuli yoyote ile mikoani pia tunasafirisha kwa uwaminifu Wa hali ya juu.karibuni sana.

Est. 2018 Buguruni rozana
geosky company ltd

*tunauza viwanja vilivyopimwa *tunauza na kupima mashamba *tunarasimisha ardhi na kuandaa hati miliki kwa muda mfupi *tunatoa ushauri juu ya matumizi sahihi ya ardhi na uwekezaji

Est. 2015 Buguruni-Malapa

Tazama biashara za mtaa mwingine

Biashara Zote ?