Biashara zilizo Kitunda
You need to login to be able to create your business profile.

Dalali Msafirii Mabhibhaa
Nyumba, mashamba viwanja n.k
Est: 2021 Est: Dar es salaam yote

Aluminium technician
Tunatengeneza madirisha patition kabati pvc cutting roll kubandika vioo vyote vya magorofa na vioo +225657912791
Est: 2014 Est: Stand ya zamani mkabala na kwa doctor kiberiti

Tvane sourcing
*TVANE SOURCING AGENCY* ▪️Tunaagiza bidhaa mbali mbali kwa bei ya china Kama vile Mikoba (handbags,nainai& wallets) za kike na kiume,nguo Aina zote(wanawake,wanaume na watoto),Viatu Aina zote,vyombo,home decor and kitchen accessories
Est: 2020 Est: Kivule-fremkumi

BIDHAA MBALIMBALI
nemajose110@gmail.com
Est: 2020 Est: nemajose110@gmail.com

YOM PRINTING
Tunajiusisha na kuprint vitu vyote matangazo, mabango, tshirts na vitu vyote vinavyo usiana na printing pamoja na kudizaini logo pia tunafanya na videos
Est: 2014 Est: Kitunda shule

Duka la Nguo
Hii ni biashara ya duka la nguo za watoto ni nguo Quality kutoka Uturukina na China.
Est: 2018 Est: Kitunda Matembere ya kwanza

Fundi umeme
Kwa mahitaji yote yanayohusu umeme was majumbaji na viwandano karibu sana Bei zetu ni nafuu Ukilinganisha na Ubora wetu karibu tukuhudumie Ubora Ni kawaida yetu
Est: 2016 Est: Kitunda

Mariam Tajiry
bidhaa Bora Kwa ajili ya kuboresha afya yako
Est: 2020 Est: kitunda

BF SUMA PRODUCTS
bidhaa za afya
Est: 2020 Est: kitunda Dar es salaam

BESMARTONLINE
Tanauza Vifaa Vya Simu Kama Vile Makava Ya Simu,Betri,Chaji,Headphone Na Vingine Vingi...Tunatuma Popote Ulipo Na Gharama Utumaji Ni Juu Yako Kila Huduma Zetu Hazipatikani Jumamosi Tuu,Karibuni Sana.
Est: 2020 Est: Kitunda Shule

saudry5 shop
NAUZA VITENGE ORIGINAL TOKA CONGO/NIGERIAL KWA BEI NAFUU SANA
Est: 2020 Est: kitunda