Mtaa • Dar es Salaam

Biashara za Kinyerezi

15 biashara
Nyumbani / Biashara / Kinyerezi
Please sign in to add your business to this ward directory.
Biashara za Kinyerezi 15 biashara
DR PPT GENERAL CLEANLINESS

Dr PPT Cleaning & Fumigation Extra Service: Counselling about Cleaning Issues

Est. 2021 KINYEREZI Garage ya Mchina
Nauza Windows 10 bootable

{Windows 10 service. Nafanya installation ya windows 10 kwenye pc. {Nakuja mpaka mahali ulipo kama unahitaji huduma piga hii no 0742604820. {Note: Huduma inapatikana Dar Es Salaam tu!!

Est. 2021 Kinyerezi
MASSANJA REALESTATE

Kwa mahitaji ya magari Nyumba Viwanja Yard N.k wasiliana nami kwaharaka sana tutafanikisha hitaji lako

Est. 2018 Kinyerezi
ekemwa

Tunatoa huduma ya malezi na elimu kwa watoto wadogo (Day Care? pia tunadia wanaorudia Mitihani ya Kidato Cha nne na Cha Sita. Pia tuitions kuanzia Primary Mpk Chuo bila kusahau English Course na Computer.

Est. 2021 edwinmwakatobe@gmail.com
Myattire_tz

Tunauza nguo na accessories

Est. 2021 kinyerezi
MAISHUU ELECTRONICS AND TECHNOLOGY

Tunatoa huduma bora za ufungaji wa Cctv camera, Electric fence, Automotive gate motor, intercom system, Alarm System n.k kwa gharama nafuu na guarantee 100% ya ubora wa kazi na vifaa tunavyotumia.

Est. 2021 KINYEREZI MWISHO
Chicken feeds and fresh meat

Animal feeds and vaccination and fresh chicken meat.

Est. 2020 Kinyerezi mahakamani
Gloke Company

Human resource services

Est. 2017 Mwemben
Divine health services

Tunatoa huduma za ushauri nasaha Huduma za matibabu (out patient department) Vipimo vya maabara na sample collection Consultant services

Est. 2020 Mbuyuni kinyerezi
asali

asali mbichi kutoka tabora

Est. 2020 mshumbaa@gmail.com
vrom_urembo

Tunauza nguo za watoto kuanzia wachanga,wakubwa,vipodozi,cheni,Hereni.Na nyinginezo kutoka na mahitaji ya wateja wetu.

Est. 2019 KITUO GARAGE MKABALA NA BL PARK
Simu_nafuutz

Tunauza simu original Aina ya Samsung ,iPhone ,INFINIX,Tecno TUNAPATIKANA mtaa LIKOMA na AGREY kwa mawasiliano piga namba zifuatazo 0657415623

Est. 2018 Agrey
Azolla Feeders

Ufugaji na Vyakula vya Mifugo.

Est. 2015 Kinyerezi Kibaga
Ossie255_mitumba

Wauzaji wa nguo, pochi & viatu vya mitumba.

Est. 2019 Mbuyuni kinyerezi
Mixology Tanzania

Tunatoa huduma ya cocktails na mocktails katika shuhuli Tofauti, Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi, Kalibu.

Est. 2017 BL PARK KINYEREZI

Tazama biashara za mtaa mwingine

Biashara Zote ?