simu za dubai, korea na vietnam
Tunauza simu za dubai, korea na vietnam
Est: 2021
Est: Akiba /Likoma street. Near Akiba bank
Mafuta ya mnyonyo(castor oil)
Tunauza castor oil kwa bei ya jumla tu,ni mafuta ambayo hayajachanganywa na kitu chochote
Est: 2017
Est: Kariakoo
Sambo Smart Shop
Sambo Smart Shop , ni Duka linalojihusisha na Uuzaji na Usambazaji wa bidhaa za Urembo na Afya .
Duka letu linauza Bidhaa za uhakika ambazo zina Ubora Unaohitajika . Pia bidhaa zetu ni Salama kabisa kwa Matumizi ya Mwanadamu .
Est: 2021
Est: Kaliakoo
Fundi Rejeta Na waujazi wa Rejeta na vifaa vyake
Fundi Rejeta Na wauzaji wa vifaa vyake
Est: 2020
Est: Karume
A&G logistic ltd
Clearing and forwarding tunatoa mizigo km gari na containers kupitia bandar ya dsm
Est: 2017
Est: Kituo cha chai gerezani 5th floor
GM phones & acessories
tunauza sim aina zote pamoja na vifaa vya sim,tunapatikana kariakoo mtaa wa Agrey na Uhuru
Est: 2021
Est: Agrey na uhuru
Simu
Ni wauzaji wa simu za infinix kwa bei Rahisi . simu original na za kisasa Instagram @ infinix best price
Est: 2018
Est: Kkoo
isheronline shop
dealing with mens clothing like Jeans,tshirt,shirt,boxer,shoes e.t.c
Est: 2020
Est: kariakoo
Abdul madhila carpets
Kwa mahitaji yote ya muonekano mzuri wa nyumba, chumba au ofisi yako kwa zuria au plastic carpet nzuri tutafute 0767866232/0712866232
Est: 2015
Est: gerezan/kariakoo
mpambanaji_shafii
kwa mahitaji ya Handbags,viatu vya kike kwa Jumla na Rejareja, nicheki kwa mawasiliano..Tuna tuma Nchi za Jirani pia
Est: 2020
Est: k/koo mtaa wa DDC