Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Kawe
chuma
chuma
meza decoration
We provide investment education and guidance towards real investing.we also secure funds for those who want to invest with/in us, we are developing an application that will enable Tanzanians to invest in African and the world stocks online
starmnonda7@gmail.com
Producer and Supplier of Pure ? Sunflower Cooking Oil.. Tunazalisha na kuuza Mafuta Halisi ya Alizeti ya Demoso Singida. Tunauza kwa Jumla na Rejareja. Tunapatikana Mbezi Beach-Makonde na Kawe Sokoni. Tupigie/Whatsapp - 0742775474
Kileododan17@gmail.com
To unatengeneza nakuuza furniture zambao aina zote
Videography,Photography, Graphics Design, Printing.
nauza simu na vifaa vyake
Nauza jumla na rejareja vitu vifuatavo 1.viatu vya kike na kiume 2.vifaa vya Afya 3.Nguo za kike na kiume 4.Rasta aina ya prima 5.Sandal za kike na kiume
Tunahusika na huduma za kitafiti(research activities) kujengea uwezo watoto,vijana na wanawake. Kwa maelezo zaidi tembelea website yetu na instagram account
Kuuza Muziki na nyimbo zangu
electronics
Biashara yangu inajihusisha na samani(furnitures)mbalimbali.
Nauza mapochi kwa gharama nafuu
Graphic Designing
Habari, kama upo daressalaam na unahitaji minicrystal perfume original kwa bei ya kitanzania tafadhari wasiliana na page hii.
hmafole@gmail.com
Kuuza viwanja kuuza nyumba na kupangisha pia
uuzaji wa miwani
Biashara yangu ina husika na bidhaa za usafi pamoja na bidhaa za afya
viwanja na mashamba
Mgahawa wa kuuza chakula Fresh kwa order tu, na Vinywaji mbali mbali Vya kilevi na soft Drinks. pia tunatoa huduma ya catering services kwa events kama sherehe za harusi, party aina zote na event planning services. karibuni kwa chakula cha aina zote. follow us Instagram @curry bien na Google pia.
Wauzaji wa pefume kwa jumla na reja aina ya Mini_Crystal.
SULUHISHO LA SHIMO LA CHOO KUJAA MAJI TAKA. Byra toilet constructors tunahusika na uchimbaji na ujenzi wa shimo la choo cha kisasa lisilojaa maji taka wala kutema harufu.
Ni wauzaji wa perfume kwa Bei ya jumla na rejareja
Ninapiga PICHA za matukio mbali mbali kwa ubora na utalaam wa hali ya juu: CORPORATE -WEDDINGS - SENDOFF PARTY - PHOTOSHOOT- Nimefanya kazi na ACCESS BANK, NIC BANK, SADEC,COCACOLAKWANZA, WEDDINDS UNCOUNTABLE. Ready to TRAVELL.
viwanja na mashamba
Tunauza Magari used na mapyaa
Tunauza urembo wa jumla ,pochi ,mabegi ,na vitu mbalimbali Pia tunajihusisha na uagiza I BIDHAA toka china na tailand kwa Bei ya jumla . Wasap no. 0692176278 Piga direct ,0715068380 Instagram ,mery -online -business
Door to door car care, tunamfata mteja popote halipo kumfanyia huduma zetu za Car wash kwa bei nzuri na salama
clothes, hand bag
Furniture.
milango, kitchen cabinets, dining table, bedside,nk.
Nauza nafaka zoote .ikiwemo na mchele super grade 1 kutoka mbeya jumla na reja reja
Uuzaji wa Magari na Ununuzi wa Magari
Milango, kitchen cabinets, dining table mbao mkongo na mninga
Tunapangisha nyumba na apartment maeneo mbali mbali ya jiji la dar es salaam
Wauzaji wa perfumes ndogo na kubwa kuanzia ujazo wa miligramu 25. Kuanzia 15,000 na spray kwa bei nafuu zaidi. Kwa Dsm na nchi nzima tunatuma mizigo.
Lucy Organic Juice tunatengeneza Juice fresh za matunda asili kabisa kutoka shambani pasipo kuchanganya chemical ya aina yoyote kila kitu ni fresh kwani Juice zetu tunatengeneza kwa asali badala ya sukari. na pia swooths na milkshakes zinapatikana kwetu
tuna tengeneza na kulipea furnitures za aina zote. sofa set,dining table, kabat, kitchen cabinets, TV showcase, coffee tables n.k
Coty Butchery Shop, NI Bucha la Kisasa lililopo Mbezi Beach kwa Zena oppositena Amsterdam Bar. Pata bidhaa kwa bei ya Jumla na Reja Reja kama . Nyama (kuku, Mbuzi, Ngombe, Kondoo, Bata) .Samaki .Nafaka zote Nunua Dukani au kupitia Tovuti upate delivery
Tunatengeneza nakuuza thamani za ndani yn vitanda,makabati ya jikoni na vyumbani meza za chakula milango masofa nk KARIBUNI JM FURNITURE KAWE BEACH
Biashara inahusika na kuuza vitenge, tshirts, mashati pamoja na perfume kwa wanaune na wanawake
I make occasional and non occasional cakes/ decorated and non decorated cakes. feel free to call or watsup for ordering at least 2days before. karibu.
deals with all furnitures both home and offoces
A&M solution inakusaidia kukufikishia huduma mbali mbali ulipo yaan nguo ,vyakula,pia huduma ya kusherehesha katika sherehe karibu kwa maelezo 0753235933
Smart_outfit_collection ni wauzaji wa nguo za kina Dada kutoka UK (mtumba grade one)
Tunauza magari aina zote Tunanunua magari Tunaagiza magari kutoka Japan Tunaexchange magari
Ni company ambayo tunatengeneza bidhaa mbali mbali kama vile sabuni za maji aina nyingi na pia bidha zengine kama Vitakashio vya chooni, masinki , Tiles n.k
Tunatoa Elimu na Huduma Ya Bima / Insurance Dhidi ya Majanga ya Moto, Wizi, Ajali, Maumivu, kifo, mafuriko, tetemeko *Bima Ya Magari *Bima Ya Nyumba *Bima ya Biashara *Bima ya Ujenzi
Kwa mahitaji ya nyumba za kupanga na kununua pamoja na viwanja au magari. karibu sana nikuhudumie
Tunapiga Picha na Video za Sherehe Mbalimbali kama Harusi sendoff Kitchen Party BirthdaysBridal and Baby Shower Corporate Events kama Seminars Mikutano na Matamasha.. Documentary Mbalimbali Matangazo ya Biashara na Vipindi vya Tv na Video za Muziki n.k
Msambazaji wa bidhaa tofauti tofauti kutokana na uitaji wa mteja
master of celemony
Furniture za chuma
Tunauza vibanio kwaajili ga kubania nywele ambazo zina dawa na zisizo na dawa pia karibuni sana
Wauzaji wa nafaka zote kwa jumla na rejareja mchele super kutoka mbeya maharage super ya njano na soya unga safi na laini kwa ugali bora sukari kwa bei nafuu kabisa pia tunafanya delivary kwa bei nafuu
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →