Mtaa • Dar es Salaam

Biashara za Mwananyamala

28 biashara
Nyumbani / Biashara / Mwananyamala
Please sign in to add your business to this ward directory.
Biashara za Mwananyamala 28 biashara
ruta furniture

rutaraka123@gmail.com

Est. 2021 rutaraka123@gmail.com
Sparkles House of beauty

Original home beauty and cosmetics

Est. 2020 Mwananyamala Hospital
Moyes_classic

Moyes Classic chini ya Moyes Enterprise inakuletea KOROSHO zilizoandaliwa kwa ubora wa kimataifa (international standard). Korosho zetu katika uzito mbalimbali kuanzia robo kg (250g), nusu kg (500g),kilo 1 (1kg) na pia unaweza kupata Mzigo mkubwa zaidi.

Est. 2021 Biafra (barabara kuelekea MWANANYAMALA ikitokea mataa (biafra traffic lights )-Dunga street Karibu na Msikiti wa Jamia
pl furniture

furniture

Est. 2015 mwananyamala A
bedsofa&sofaset

furniture

Est. 2000 mwananyamala hospital
TRUST PROPERTIES

VIWANJA

Est. 2021 makembusho
Unique online business

Tunaagiza na kuuza bidhaa mbalimbali kutoka China, uturuki na Dubai,kuja Tanzania kwa bei pendwa kabisa karibu upate vitu vizuri ndugu mteja wetu????????????

Est. 2020 Komakoma mwananyamala
Joseph magodoro na vitanda

Nauza magodoro na vitanda vya chuma mbao pamoja na vya sofa. Magodoro Aina zote

Est. 2019 Joseph magodoro
JIKO RAFIKI

Jiko rafiki ni jiko linalotumia mikaa mitatu mpaka minne tu kuivisha chakula chako pia linatumia kuni, maranda ya mbao hata mabunzi pia...halitoi moshi kama majiko mengine kwani limetengenezwa kwa kuzingatia kanuni za afya...linapatikana kwa Tsh 50000/=tu

Est. 2016 msisiri
Sarahsam_store

Nauza nguo za ndani za kike na za kiume

Est. 2019 Biashara complex
Kinga mwili

Faida za kutumiya femicare Kwa wale wanao sumbuliwa na U. T. I sugu miwasho kutokwa na uchafu sehemu za sili halufu mbaya au kutokwa na maji maji ukeni kusikiya mau mivu wa Kati wa tendo landoa au wa Kati wa hedhi

Est. 2016 Mwana nyamala Kwa kopa
mayra collection

Waagizishaji wa jumla/rejareja wa vipodozi,nguo za watoto,nguo za kike na kiume,handbags nk

Est. 2020 Mwananyamala
Furnitures

Nichos furnitures ni watengeneza wa furniture mbali mbali za majumbani,saloon na nk.

Est. 2019 Mwananyamala A
Longrich bamboo soap

Ni sabuni nzuri kwa ajili ya kutunza ngozi iwe na muonekano mzuri.. inatibu miwasho, chunusi,mabaka, pumu ya ngozi, harufu mbaya ya mwili aliyeungua na cream inarudsha muonekano wenye kuvutia.ni sabuni iliyotengenezwa na mimea asilia

Est. 2019 Mwananyamala shule
Shoperz

Electronics

Est. 2020 Makumbusho
Liver_collectionss

Karibuni liver_collections mpendeze...chochote agiza utapata

Est. 2020 Mwananyamala, kituo cha daladala msaada gereji
greenlesskimaro furniture

tunauza nakutengeneza furniture za ainazote kwabei nzuri sana wote mnakaribisha mjipatie tunakufikia kokote ulipo kwa gharama nafuuu

Est. 2019 kimarogreenless@gmail.com
MacKenzie Photo Equipments

Camera na Vifaa vya Camera.

Est. 2019 Komakoma
ELECTRO_PLUG LIMITED

Uuzaji wa bidhaa mbalimbali kam vile vifaa vya photograph na videograph kwa jumla. -tunakusaidia mwenye camera yako kukuuzia kwa muda mfupi sana. -home appliances/vifaa vya majumbani -used cars aina zote pamoja na uagizaji wa magari nje ya nchi -wasiliana NASI kwa namba 0764671038 au 0676288683 IG#ELECTROPLUGLIMITED FB page ELECTRO_PLUG LIMITED karibuni sana.

Est. 2015 Biashara complex
Chitattoo

Nachora tattoo kwa machine Nip dar es salaam Ni permanent tattoo 0676572367

Est. 2018 Kwakopa
Jidy66 Store

For Camera and Video accessories

Est. 2020 Mwananyamala Komakoma
MANGINTOSH INC

we sale laptops, best new and refurbished laptops at affordable prices.

Est. 2018 mwananyamala A
health_weightconsultanttz

Health and beauty awareness #am strong#am health#am looking good#handsome/beautiful#

Est. 2007 Victoria
classiclocker

Niwauzaj wa nguo za mtumba gradeone kutoka uk $u s a nguo za aina zote zinapatikana makot cadet jeans surual za vitambaa tishirt mashat nguo za harusi nguo za usiku nguo za watoto viatu vya wakubwa na watoto vyote vinapatikana

Est. 2020 Mwananyamala A
Coconut Furniture Mart

Tunatengeneza furniture za mbao aina zote kwa gharama naafu zaidi njoo kwetu upate unachokipenda,

Est. 2016 Tupo Kinondoni mkwajuni karibu kabisa na Mwongozo Primary Shool
Valor Africa Limited Co.

We sell shoes, jewelry and accessories, perfumes and watches in retail and wholesale. We are at Mwananyamala kwa kopa. Karibuni sana

Est. 2018 Mwananyamala kwa kopa
ibrahim

am bussnes man

Est. 2020 mwanyamala
Switch Technology Solution

Switch technology deals with: 1. Website design 2. Graphics design 3. Phography & Videography 4. Documentary & video production

Est. 2019 Makumbusho

Tazama biashara za mtaa mwingine

Biashara Zote ?