Mrmasilvertz
Dealer in silver & gold jewelry for both men, women and children .
Call/WhatsApp
?0716775971?
Est: 2015
Est: Mapipa
tiffah house of pajama
nguo aina zote za kulalia.PajamaShort pajamaShumizi na robe zakeVest na kaptula zakeMtumba first grade
Est: 2021
Est: magomeni
Hp-ujenzi-ufundi
Ujenzi wa majumba aina mbali mbali na ukarabati ufundi wa vitu mbali mbali popote ulipo tunakufikia ubora na ubunifu kipaumbele chetu
Istagram hp-ujenzi-ufundi mawasiliano 0756 882353/0622206520 tunakukaribisha
Est: 2020
Est: Miikumi
Kijana wa Bima Insurance Agency
Tunafanya uwakala wa Bima na kampuni ya Phoenix of Tanzania assurance co. Ltd
Est: 2021
Est: Magomeni kanisani
Dental services
-kusafisha meno( dental scalling and polishing)
-kuziba meno( tooth filling)
-kuweka meno bandia( dentures)
-kungarisha meno( teeth whitening)
-Kuiweka urembo kwenye meno( tooth gemstones)
-Matibabu ya mzizi wa jino( root canal treatment),etc
Est: 2021
Est: Magomeno usalama
Amani Alone Food Investment
Tunauza pilipili nzur zenye kuongeza ladha kwenye chakula chako
Est: 2018
Est: Magomeni usalama
Amani Alone Food Investment
Tunauza pilipili nzur zenye kuongeza ladha kwenye chakula chako
Est: 2018
Est: Magomeni usalama
kilimo_uti_wa_mgongo
mbolea YA SUPER GRO na bidhaa za usafi kama super10,CARE, LDC na carpet gro
Est: 2021
Est: magomeni
DELLAH CAR TRADER
Uagizaji magari kutoka Japan, Singapore, Dubai na UK
Est: 2021
Est: Magomeni usalama adjacent watumishi house
Tiles decoration
Kwa maitaji ya ufundi wa tile,muzak,Mabo swimming pool finishing & tanga ston.(contact no +225 714 733 828 )
Est: 1988
Est: Tandale
Cherry fresh yogurt
Maziwa mtindi safi kabisa mazito yasiyo na mchanganyiko wa chochote.
Pia ni wauzaji wa maziwa fresh yasiyo na mchanganyiko wa maji na hayana shombo kabisa.
Est: 2020
Est: Magomeni
Ayesher8
Ni muuzaji mpishi wa vyakula bites dessert sweets cookies napokea oda kubwa na ndogo karibuni nyote
Est: 2021
Est: Magomeni mwembechai
Mussa profesional painter
Karibu mussa profesional painter
Susi niwataalam wa Rangi za nyumba tuna patikana Dar es salaam magomeni ila tuna weza kufanya Kazi mkoa wowote hapa Tanzania
Shughuli zetu ni kama :-
House painting
sikiming to finishing
House decoration ,
Kufunga body
Est: 2012
Est: Magomeni
Selling and buying new and used car
Tunauza na kununa magari
Mapya na yaliyotumika
Kama unahitaji kuuza ama kununua gari yako tupigie
0710241364
0784973796
Tunapatikana magomeni
Est: 2012
Est: Magomen
Africars Commission Agent
Waagizaji na Wauzaji wa Magari kutoka Japan,Uingeleza na Marekani...
Piah tunafanya Exchange na gari Yako iliyotumika kama Sehem Ya Biashara kama unahitaj Gari nyingine...
Tunapatikana Magomen Mapipa na Manzese TipTop...
Est: 2004
Est: Africars Commission Agent
Upendo Foods & Sweets
WAKALA WAKUU wa UBUYU WA ZANZIBAR JUMLA NA REJAREJA
SNACKS AINA ZOTE ZINAPATIKANA
Tunapatikana MAGOMENI USALAMA KITUONI-DAR ES SALAAM
Est: 2016
Est: Magomeni usalama
saloon
make up, kusuka, kufanya steaming, kuweka nywele dawa, kuweka rangi nywele
Est: 2018
Est: mtambani
Chino GPS Track
fa stara collection ni wauzaji wa hijab, viatu vya kike, handbags na mitandio
Est: 2014
Est: Magomeni Mikumi
citycarpaint
Dealing with car painting<<,repair collision car and upgrade =
Est: 2018
Est: Magomeni mapipa dosi street
rphat_graphics
TUNABANDIKA STICKER OFFICE ZA AINA ZOTE PAMOJA NA KUTENGENEZA MABANGO YA AINA YOTE
Est: 2020
Est: rphat_graphics
Havan_tz
Mchele wetu ni msaf umechambuliwa na kupepetwa
Kilo 5 13500
Tupigie au WhatsApp 0764512666
Hutajutia kununua
Est: 2020
Est: Magomeni sokon
Havan_tz
Habar, Tunauza mchele msafi hauna mawe walla uchafu kilo 5 13500
Weka oda yako sasa
#0764512666
Est: 2020
Est: Magoneni sokoni
totoo_point_tz
Wauzaji wa nguo na bidhaa mbali mbali za watoto kwa jumla na reja reja0768327353 tunapatikana magomeni kagera.
Kwa wanaoanza biashara ya nguo mtaji kuanzia elfu 30 na kuendelea unapata nguo za jumla.
Est: 2019
Est: Magomeni kagera mtaa wa zinga
Asrar Heena
i am selling heena, very nice colour that stays for a very long time
Est: 2019
Est: magomeni and kariakoo
Silver Electrical material
Tunauza vifaa vya umeme vya majumbani, maofisini n.k
Est: 2014
Est: Magomeni Mapipa Idrisa Street