Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Buza
Safe & Nice place to refresh your mind
kuuza ubuyu Na vifungashio bei ya jumla Na REJAREJA
Karibuni watejawangu wakusuka nasuka nitindoyote pia nauza lasta aina zote
Tunauza urembo wandani kama pazia, carpet maua ,saa, mashuka, neti taulo tunapokea oda za guest House nk
Tunapamba kumbi za harusi,tuna tengeneza cake,tunakodisha mziki,,video shooting na still pictur
utengenezaji na ufungaji wa madirisha na milango ya Pvc na aluminium
@loywinebottle_decoration We design and sale Wine Bottle <~
Ninahusika na kuuza Mapazia aina zote ,neti aina zote na vitu vingine vya ndani kwa mapambo.
Mimi ni mfanya biashara wa online unaweza kujipatia chochote kile kutoka kwangu mf.nguo Gari pikipiki na vyombo vya nyumban kwa mawasiliano piga cm 0654168126 popote ulipo tunakufikia
jadelina hairstyle tunasuka style zote #bradelmakeup#sendoffmakeup#simplemakeup pia tunapokeaa wanafunz wanaotaka kujifunza makeup
Urembo safi wa nyumba natumia cement na mchanga
Jadelina hairstyle tunasuka style zote tunapaka makeup #bradelmakeup#sendoffmakeup#simplemakeup #tunapaka Lang za ainazote za kawaida na jelly
Tunakodisha muziki & Djs kwa Shughuli aina zote Muziki wetu ni mzuri na wakisasa
Tunauza viatu vya mitumba pamoja na sendo na hills. Tunauza nguo za wadada za mitumba kwa kila kiatu ni 10 000 = T-Shirts 5 000 = na sket 7 000 =
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →