Biashara zilizo Makangarawe
You need to login to be able to create your business profile.

Korosho
Nauza korosho jumla na rejareja,1kg 18000,nipo dar natuma popote karibuni.0714950606,delivery unalipia
Est: 2020 Est: Kituo kinaitwa chama

Ushindi
Nauza unga wa muhogo,samaki aina ya kambale, maziwa fresh na mgando.Pia natoa elimu ya kilimo na mifugo na kuandaa project za kilimo na mifugo. Karibuni sana.
Est: 2020 Est: Dovya

MORTECH SOUND
Tunatoa huduma ya kukodisha music system kwa sherehe aina zote Mfano Harusi | Birthday | mikutano Huduma zetu ni mzuri kwa bei nafuu sana _
Est: 2010 Est: Dar es salaam