📍

Mtaa · Dar es Salaam

Biashara za Mtoni

10 biashara
Nyumbani Biashara Mtoni
🔐 Please sign in to add your business to this ward directory.
Biashara za Mtoni 10 biashara
Dog Trainer..

kufundisha mbwa.. Obidiance-Utii.. Agressive-Ukali.. Protection-Ulinzi.. Sports-Michezo.. Kuuza mbwa mbalimbali.. All breed of dog..

Est. 2013 📍 Temeke
Generation

Wauzaji wa Bidhaaa mbalimbali jumla na rejareja . NGUO (WAKUBWA NA WATOTO) VIATU(WAKUBWA NA WATOTO) MABEGI. SIMU TELEVISHENI KOMPYUTA.

Est. 2019 📍 generation
KOROSHO

mwanaishaali999@gmail.com

Est. 2019 📍 mwanaishaali999@gmail.com
Mwajeys vijora point

KARIBUNI SANA MWAJEYS VIJORA POINT TUNAUZA VIJORA VYA MOMBASA ?NI VIZITO ?VIREFU NA HAVIRUKI HATA UKIFUA ? VINA MITANDIO MIKUBWA SANA karibuni sana? Kwa wateja wote wa jumla na rejareja Jumla 12000 Rejareja 15000 Karibuni sanaaa

Est. 2020 📍 Madafu
Uuzaji wa hisa

Umuhimu wa kumiliki hisa JATU ▪️Kushiriki kwenye miradi ya kilimo ▪️Kupata gawio Kila mwaka ▪️Kupata fursa za uwakala ▪️Hisa za Jatu zinapanda bei kila siku, hivyo unaweza ukauza na kupata faida kwa bei ya juu Kwa mawasiliano 0769238185

Est. 2016 📍 Saba saba maonyesho
KING SHINTA FURNITURE

WATENGENEZAJI WA FURNITURE ZENYE UBORA ZA NDANI NA OFFICE

Est. 1994 📍 mtoni mtongani
screen printing services and embroidery.

tshirts printing,Logo designing ,Covers aina zote na uuzaji ya tshirts bei ya ujumla na reja reja.

Est. 2021 📍 Michael Logo.
AsiaNseries

Tunatoa biashara na series Kali kutoka Asia, based online kwa Bei powa na kwa HD

Est. 2019 📍 online based
Ngaikunda

we make Gere for women

Est. 2017 📍 mtoni
DILEX BUSINESS SOLUTION

1. Usajili wa Kampuni 2. Usajili wa jina la biashara 3. Ufatiliaji wa leseni za biashara 4. Branding 5. Graphics Design 6. Shughuli zingine kwa matakwa ya mteja

Est. 2015 📍 SABASABA MAONYESHO

Tazama biashara za mtaa mwingine

Biashara Zote →