Mtaa • Dar es Salaam

Biashara za Msigani

6 biashara
Nyumbani / Biashara / Msigani
Please sign in to add your business to this ward directory.
Biashara za Msigani 6 biashara
Nguo za watoto

Pata nguo za watoto grade a kwa wauzaji wa rejareja nafungua balo

Est. 2020 Mbezi stand
uwanja na nyumba

ni uwanja uliomo nyumba wenye urefu na upana 17/11 , kutoka lami adi apo ni km1 uwanja nitambarare na upo sehen nzuri

Est. 2021 kanisani maramba
naomi juice and bites

Bites aina zote, juice fresh za matunda, chips, nyama choma,kuku choma, ndizi choma na za kukaanga, ugali, wali, maziwa fresh na mtindi

Est. 2021 round about ya kwenda kinyerezi au malamba mawili
Nyambe outfit

Nauza nguo za kike na za kiume

Est. 2017 Mbezi
Fundi rangi wa nyumba

Fundi rangi wa nyumba napatikana mbezi ya kimara lnstgram napatikana reymond fundi rangi wa nyumba 1 au nicheki kwa namba 0765910241

Est. 2020 Mbezi kimara
FJH welding

tunatengeza fanicha aina zote na ninauzoefu wa kotosha wa kutengeneza Mageti ya aina zote karibuni wateja

Est. 2020 Msingwa shule

Tazama biashara za mtaa mwingine

Biashara Zote ?