All Businesses

Dar es Salaam • Business Profile

Chalhuny Store

Est. 2018
2018
Established
0
Products
Muhimbili
Operating Zone
About This Business

Nauza vifaa vya nywele.. dryer za kukaushia nywele na pasi za kunyoosha na kuweka mawimbi nywele kwa bei rahisi.. ni mpya kabisa


jipatie pasi ya kunyoosha nywele ndogo kwa elfu 20, pasi kubwa kwa elfu 40, kitana cha umeme kwa elfu 50, dryer ndogo ya kukausha nywele kwa elfu 25 na roller ya kuweka mawimbi kwa elfu 20 Weka order kwa namba 0714378500 au WhatsApp no 0738589881.. kwa wateja wa Dar, msambazaji anakuletea mpaka ulipo kwa nauli ya elfu 2 na unalipa baada ya kupokea mzigo

Office Zone Muhimbili
Address Dar es Salaam
Listed Products 0 products

No Products Listed Yet

This business hasn't added anything to their catalog yet.

Tathmini za Wateja (Customer Reviews) 0 reviews
★ 0 / 5.0
Kutoka kwa wateja 0 waliotoa maoni

Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!

Andika Tathmini Yako

Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.