DStv sales and product

2002
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Makao Makuu KINONDONI KINYEREZI BUGURUNI UBUNGO
🏢 Address: ilala Dar es salaam p.o.box 7790

About This Business

TUNAUZA DSTV TUNAKUFIKISHIA ULIPO KWA 99 000/= UFUNDI 20 000/= OFA MWEZI MZIMA BURE KIFURUCHI CHA FAMILY.

Ishi kijanja, badili muonekano wa sebule yako kisasa, pata Kingamuzi Chako toleo jipya la DStv HD6 ufaidi thamani ya pesa yako na maana halisi ya kidigitali. Ifanye familia yako iishi kifalme kuanzia leo.(stay home safe) Kingamuzi toleo jipya la HD6 kimeongezewa uwezo maradufu kwa picha Kali za HD, uwezo mkubwa wa kukamata mawimbi unaoifanya kutotetereka hata kipindi cha mawingu au mvua. Sasa utakipata kwa Sh 99000+UFUNDI sh20000 na utapewa decoda, dish, waya, HDMI cable, Lnb na n.k huku kikinogeshwa na ofa ya MWEZI MZIMA wa kuangalia bure kifurushi cha FAMILY cha Sh 29000 na kilichosheheni zaidi ya chaneli 80+ OFA ikiisha una chaguo la kulipia kifurushi mpaka Sh 19000 mwezi mzima na utaangalia chaneli kedekede zaidi ya 70. Katika kuendelea kukujali, tunakuletea mpaka kwako na pia kukufungia dish kwa 20000 tu Warranty ya ufundi MIEZI 3 Warranty ya vifaa mwaka 1 Usisite, Tupigie moja kwa moja kwenye namba zetu 0653 350 104 Au 0758288110

Contact Information

📞 Phone Number
💬 WhatsApp
📸 Instagram
👥 Facebook
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.