MKAA BORA
2019
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: TEMEKE
🏢 Address: Temeke Dar es salaam
🏢 Address: Temeke Dar es salaam
About This Business
Tunauza mkaa Bora zaidii ambao hutunza mazingira, huwaka Sana na kwa mda mrefu zaidi na Ni gharama nafuu sana ukilinganisha na mkaa wa kawaida. Tupigie kwa namba hizo kwenye bio tukufikishie uli
Hivi ndivyo mkaa wetu unavyowaka kisawasawa tayari kwa kutumia.
Ni mkaa Bora zaidii kwani hutunza mazingira, huwaka Sana na kwa mda mrefu zaidi na Ni gharama nafuu sana ukilinganisha na mkaa wa kawaida.
Tupigie kwa namba hizo kwenye bio tukufikishie popote ulipo kwa waliopo Dodoma.
Wachoma nyama/Kuku
Wakaanga chips
Mama ntilie/ wapishi wa mahotelini
Wafungaji wa kuku kwa ajili yakuwapa Joto
Majumbani. 
Niamini hutojutia kamwe, wasiliana Nasi sasa
Contact Information
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet
This business hasn't added any products to their catalog yet.