MM Products

2019
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: River Side
🏢 Address:

About This Business

Jipatie Unga wa Dona Unga wa Lishe Unga Wa Muhogo Unga wa Mtama Unga wa Mchele Sabuni za Usafi Sabuni Asili ya Uso Bidhaa zetu ni Fresh wakati wote Tunazingatia Usafi kwa usalama wa afya ya mlaji Tunafanya delivery popote kwa bei nafuu sana Simu: 0788288589

Karibu ujipatie bidhaa asilia toka MM Products Tunatengeneza Unga mbalimbali kama Unga wa Lishe, Unga wa Dona Lishe (mahindi, mtama, ngano) Unga wa Dona Plain (mahindi Tuu) Unga Wa Mchele, Unga Wa Ulezi, Unga wa Uwele, Unga wa Mtama, Unga Wa Muhogo.nk Unga zetu ni asili Hatukoboi Nafaka Tunaosha Nafaka kwa usahihi na zinakauka vizuri Pia tuna Sabuni za Maji za Usafi nyumbani kama kufua, kudekia, kuoshea vyombo n.k Tuna sabuni nzuri ya asili ya Aloevera maalumu kuondoa chunusi, Mba, Muwasho, Fungus, Mapunye, weusi wa kwapa na mapajani, Ngozi iliyoharibika na cream kali. Sabuni haichubui inakupa rangi yako ya Asili tu.

Contact Information

📞 Phone Number
✉️ Email
💬 WhatsApp
📸 Instagram
👥 Facebook
🐦 Twitter
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.