Maxqual Engineering Group Limited

2015
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Tegeta
🏢 Address: P.O.Box 76572 Dar es Salaam

About This Business

Welcome Maxqual steel Formworks and Scaffolding solutions. Our company hires and installs steel formworks for SLAB, BEAM COLUMNS e.t.c for all construction sizes. Tunakodisha na kufunga Mirunda na Sahani za chuma kwa matumizi ya Slab, Beam, Nguzo n. k

MAXQUAL ENGINEERING GROUP
Ni Kampuni inayoongoza na kusifiwa kwa kuwa na bei nafuu sana na kwa ubora ule ule unaoutarajia wa kiwango cha juu.
#MAXQUAL  inatoa huduma ya kukodisha mirunda ya kisasa (chuma) na Sahani zake yani Plates za chuma na formworks materials yote kwa matumizi ya kujengea  #Slab#Beam#Columns  na kazi nyingine zozote zinazofanania.
Bei zetu ni nafuu sana na tukodisha pamoja na kukufungia kwa gharama zetu wenyewe sambamba na offer ya usafiri.
Pia, tunapokea kazi za ujenzi wa nyumba za biashara, ofisi na za kuishi kuanzia msingi mpaka finishing.
Karibu ufurahie huduma zetu,
0692487465
0716505058

Contact Information

📞 Phone Number
🌐 Website
💬 WhatsApp
📸 Instagram
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.