Mbuzi

2019
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Ndumbwi
🏢 Address:

About This Business

Nauza mbuzi wa kubwa kabisa kutoka singida, kuna mbuzi wa supu kuanzia 80000 na wa kuchoma kuanzia 100000 mpaka 130000, karibuni sana

Biashara yangu ni ya uhakika unapata mbuzi mzuri kabisa, na tunaweza kukuhudumia kwa kila utakavyohitaji  mbuzi ni bora hawana tatizo lolote kiafya karibuni sana, nawapenda

Contact Information

📞 Phone Number
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.