Ngosha_kiwango_nafaka

2018
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Dar es salaam
🏢 Address: Kitunda-Kivule

About This Business

Tunauza mchele quality kutoka mbeya na maharage kutoka arusha kwa bei nafuu. Pia tunauza kuku wa nyama(Broiler) kwa jumla na reja reja

Tunajishughulisha na ufugaji wa kuku wa nyama ambao wanatoka 1,000 kila alihamisi,ijumaa,jumamosi na jumapili, lakini pia tunauza nafaka mbali mbali kwa bei rafiki jumla na reja reja, tunafanya delivery kwa wateja wa jumla kuanzia tan moja. Kwa mahitaji wasiliana via 0712503407 au 0621386789

Contact Information

📞 Phone Number
✉️ Email
💬 WhatsApp
📸 Instagram
👥 Facebook
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.