SHEDY CREATIVE DESIGN
🏢 Address: DAR ES SALAAM TANZANIA000
About This Business
Kwa yeyote muhitaji wa kazi zenye ubora nafuu na uhakika zinazo husu Graphics Design usiache kutuchek shedy creative design tukuhudumie kwa kiwango cha kimataifa ..Karibu sana tunakupenda
Watu wengi wana shindwa kupata huduma nzuri za graphic design,kwasababu ya uchaguzi wao ambao sio sahihi,Sisi kama shedy crative design Tunaamini ni chaguo la watu wengi sanaa.kitu cha kwanza ni Gharama, shedy creative design bei zetu ni nafuu kupita maelezo tunatoa huduma kwa bei ndogo sana pia tunathamini muda wako kuliko kitu chochote kile,Tunasema tunafanya tunachokiamini ni kwasababu ili kazi ikamilike ni lazima ikaguliwe na kupitishwa na watu si chini ya wa5, hivyo kazi zetu ni bora na za uhakika.Lakini kama ungependa kujua tuna design vitugani usipate shida,shedy crative design tuna design, POSTERS,BANNER,STIKER,AUDIO& VIDEO COVER,FLIER,SONG LYRICS,BOOK COVER,PHOTO& VIDEO EDITING,LOGO,Na vingine vingi vinavyo husu graphic desin..KARIBU TUKUHUDUMIE
Contact Information
No Products Listed Yet
This business hasn't added any products to their catalog yet.