SIMU_QUALITY
🏢 Address: Aggrey, kariakoo Dar es Salaam
About This Business
Tunauza simu aina zote, (smartphone na simu ndogo za button) kwa bei ya jumla. Tunauza kava za simu pamoja na glass protector. Simu zetu ni original na zenye ubora ubora wa hali ya juu, kwa bei wezeshi kwa kila mtu. Pia tunatoa ushauri kuhusu chaguzi za simu kwa matoleo mbalimbali. Tunapatikana Kariakoo mtaa wa aggrey.
Tunauza simu aina zote, (smartphone na simu ndogo za button) kwa bei ya jumla. Simu za Samsung, iPhone, Oppo, Infinix, Tecno, Itel, n.k, zinapatikana Tunauza kava za simu pamoja na glass protector za simu aina zote. Simu zetu ni original na zenye ubora ubora wa hali ya juu, kwa bei wezeshi kwa kila mtu. Pia tunatoa ushauri kuhusu chaguzi za simu kwa matoleo mbalimbali. Tunapatikana Kariakoo mtaa wa aggrey. Tunafanya delivery bure kwa wateja wetu waliopo mkoa wa Dar es salaam, na mikoani tunatuma popote kwa gharama ndogo. Ubora wa bidhaa na huduma bora kwa mteja ni kipaumbele chetu. karibu @simu_quality Get the best, original and quality mobile phone for affordable price
Contact Information
No Products Listed Yet
This business hasn't added any products to their catalog yet.