Dar es Salaam • Business Profile
Sonholisticpoint
Nawasaidia wanawake wenye matatizo ya viungo pamoja na misuli kutatua matatizo yao bila ya kwenda hospital kupitia Tiba ya Hijama/ Cupping therapy.
Tunatoa tiba katika mifumo 12 ya mwili, kwa njia za Kisunnah na Tiba mmbadala zisizo husiana na ushirikina, ikiwemo Hijama ( kuumika/ kutia damu chafu mwilini/ cupping therapy) Reflexology (Tiba ya Mishipa) Ruqya (Visomo vya Quran/ dua) Massage therapy (Kuchua )pamoja na Herbals (dawa za Kisunnah na Miti shamba).. Ushauri ni bure?&zwj ??&zwj ?
No Products Listed Yet
This business hasn't added anything to their catalog yet.
Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!
Andika Tathmini Yako
Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.