Tiba Lishe

2020
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Mikocheni B
🏢 Address:

About This Business

Hello, naitwa Hamida Mziwanda , kwa changamoto yoyote ya Afya yako karibu nikuhudumie , niulize uchotaka kufaham kuhusiana na bidhaa za Natures way

Bidhaa zetu zote zinazalishwa nchini marekani na kampuni ya Natures way ,makao makuu ya kampuni ni ufilipino, kampuni inauzoefu wa zaid ya miaka kumi duniani na Tanzania kampuni tangu ofisi ifunguliwe rasmi ni miaka miwili sasa, kampuni inamadaktar zaid ya 20000 , bidhaa zinatengenezwa mimea ,matunda na mboga mboga ni bidhaa za asili na hazina madhara , kampuni inabidhaa zinazotibu magonjwa na changamoto mbali mbali za kiafya kwa watoto na watu wa lika zote,

Contact Information

📞 Phone Number
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.