VIPODOZI ASILI
🏢 Address:
About This Business
Vipodozi hivi vinatengenezwa kiasili havina Chemical, Vinaweza kutumiwa na watu wote na jinsia zote. Havina madhara kwa mtumiaji. Tuna-: LOTION YENYE CREAM LOTION ISIYO NA CREAM SCRUB SABUNI SHAMPOO STEAMING CASTOR OIL VITAMIN E SERUM TUPO TABATA KIMANGA NJIA PANDA SIMU NO.0713145135 WHATSAPP NO.0684901331 DELIVERY IPO KULINGANA NA SEHEMU ULIPO
Vipodozi hivi vimetengenezwa kwa asili havina Chemical yoyote wala madhara kwa mtumiaji. Unapotumia Vipodozi hivi unapata faida mbali mbali unakuwa na ngozi nzuri na ya kupendeza, hata ukiacha haikuletei madhara yoyote, haikuletei Allergy. Bidhaa hizi zinaweza kutumiwa na watu wa rika zote,jinsia zote na wenye ngozi aina zote. Wenye ngozi ya Mafuta na wenye ngozi Kavu. Vipodozi hivi ni salama kwa ngozi yako na afya yako.
Contact Information
No Products Listed Yet
This business hasn't added any products to their catalog yet.