Viwanja Kisemvule

2014
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Kisemvule
🏢 Address:

About This Business

OBEY NEW VILLAGE inakuletea OFFER Kabambe ya viwanja vya makazi kwa bei nafuu, Wahi mapema,

OBEY NEW VILLAGE inakuletea OFFER Kabambe ya viwanja vya makazi kwa bei nafuu, Wahi mapema, BEI SASA NI MILIONI MOJA NA LAKI TATU (1300000) TU . Ni Viwanja vizuri sana VIMEPIMWA, UKUBWA kwa kila kiwanja ni Futi 50 X 40 mil 1.3, futi 80 X 50 (SQM 400)milion 2.6, futi 100 X 80 (SQM 800)milion 5.2. Viwanja vipo kisemvule mbele kidogo ya mbagala. Vimezungukwa na huduma muhimu jirani, Umeme upo jirani, Maji yapo, Eneo la Shule limetengwa, Eneo la Stendi limetengwa Eneo la kituo cha afya limetengwa, Eneo la Soko n.k Mji ni wa kisasa zaidi USAFIRI NI UHAKIKA , kuna daladala za kutoka Gerezani hadi Kisemvule, Tandika hadi Kisemvule, Temeke hadi Kisemvule, kivukoni hadi kisemvule n.k FIKA KISEMVULE piga namba.0689544343 , utapelekwa mpaka kwenye mradi wetu bure. Njoo ulipie kiwanja chako, KWA AWAMU TUNAPOKEA . KUMBUKA KUJA KUONA SIKU YA JUMAMOS NA JUMAPILI USAFIRI NI BUREEE NA KUNUNUA HADI URIDHIKE MWENYEWE. Follow @viwanja_dsm26 MAWASILIANO..=G Alrtel 0689544343 Voda 0755272712 WHATSAPP 0689544343

Contact Information

📞 Phone Number
💬 WhatsApp
📸 Instagram
👥 Facebook
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.