WASTEWATER SOLUTIONS

2008
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Amana
🏢 Address: Ilala,Mtaa wa Arusha/Manyoni,Nyumba Na.3, S.L.P 78349, Dar es salaam.

About This Business

Ni wataalamu waliobobea katika ujenzi wa mifumo ya majitaka kwa kutumia teknolojia ya anaerobia (anaerobic digestion) kwa ajili ya kudhibiti,kusimamia na kuboresha majitaka ili yafae kwa matumizi mbalimbali ya mwanadamu na viumbe wengine.

Tunajenga na kukarabati chemba za majitaka kwa kutumia mfumo wa OSWAMS wenye faida endelevu ambapo unaweza ukaamua :-

1.Kuyatiririsha katika viwango vinavyokubalika na NEMC na Mamlaka zingine duniani

2.Kuyarejesha ardhini kwa njia bora na salama ili kuepuka kujaa mara kwa mara

3.Kuyarejesha(recycle) katika matumizi mbalimbali

4.Kuzalisha nishati ya gesi asilia(Biogas) kwa matumizi mbalimbali

Mfumo wa OSWAMS unafanya kazi kwa viwango vya hali ya juu kuanzia kwenye nyumba binafsi na mashirika,Shule,Nyumba za ibada,Hospitali kubwa na ndogo,kambi,machinjio,viwanda n.k

Epuka kero na gharama kwa kujenga chemba bora za kisasa zisizojaa wala kuhitaji ukarabati (maintenance) wa mara kwa mara.

Wasiliana nasi kupitia:
Simu: 0653022075

Barua pepe: info@oswams.com

Tovuti: www.oswams.com

Contact Information

📞 Phone Number
✉️ Email
🌐 Website
💬 WhatsApp
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.