Zengo Food Products

2020
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: Kwa Yusuph
🏢 Address:

About This Business

Tunauza mayai ya kanga, ya kuku wa kienyeji, asali mbichi na mafuta ya alizeti toka singida

Zengo Food Products tunajishughulisha na uuzaji wa asali mbichi halisi kabisa kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania ikiwemo Singida na Tabora. Pia tunauza mayai ya kuku wa kienyeji na ya kanga, na mafuta ya kupikia ya alizeti kutoka Singida Karibu tukuhudumie #yourhealthyoursuccess

Contact Information

📞 Phone Number
✉️ Email
💬 WhatsApp
📸 Instagram
👥 Facebook
🎥 YouTube
🐦 Twitter
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.