All Businesses

Dar es Salaam • Business Profile

inaya lishe bora na tamu

Est. 2020
2020
Established
0
Products
ubungo plaza
Operating Zone
About This Business

unga bora na mtamu wa lishe kwa rika zoteyy


unga lishe bora na mtamu unaotengenezwa kwa usafi na umakini wa hali ya juu.nafaka zetu nj mahindi lishe,mtama, ulezi,ngano,kafanga,viazi lishe,mbegu za maboga.tunafata chaguzi ya mteja anapenda mchanganyiko upi mfn mahindi lishe +viazi lishe+mbegu za maboga au mtama+mahindi lishe nk bei ni 5,000 per kg ukiwa na viazi lishe na 4,000 per kg bila viazi lishe ktk mchanganyiko wake. ila tunashauri kwa unga ambao utakuwa nje ya fridge basi karanga au mbegu za maboga ziwe pembeni kuepusha fangus.

Office Zone ubungo plaza
Address 9311,ubungo dsm
Listed Products 0 products

No Products Listed Yet

This business hasn't added anything to their catalog yet.

Tathmini za Wateja (Customer Reviews) 0 reviews
★ 0 / 5.0
Kutoka kwa wateja 0 waliotoa maoni

Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!

Andika Tathmini Yako

Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.