lsimaraltd

2016
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: bahamahama
🏢 Address: kimara baruti dar es salaam

About This Business

karibu lsimaraltd, kwa mahitaji ya gates,beds,swings(bembea) window, home decor, na michezo aina zote.

lsimaraltd, ni kampuni ndogo ya kitanzania inayomilikiwa na vijana wa kitanzania, yenye lengo la kuleta mapinduzi ya kiuzalishaji katika sekita ya viwanda vidogo vidogo. tuna tengeneza aina zote za vitu vya majumbani kwa kutumia vyuma vinavyopatikana hapa nchini, hivi ni baadhi ya vitu tunavyotengeneza, >milango aina zote ya chuma na mbao. >madirisha aina zote. >stand za mauwa kwa ajili ya bustani za nyumbani. >bembea za watoto mashuleni na majumbani. >madawati na viti aina zote. >vitanda vya majumbani,hotel,lodge,shule aina zote. >urembo wa nyumba kama vile stendi za kuwekea mauwa, mataili kwenye gardens, > meza aina tofauti.

Contact Information

📞 Phone Number
✉️ Email
💬 WhatsApp
📸 Instagram
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.