zulfat flowers

2020
Established
0
Products Listed
📍 Office Location: namanga mbuyuni
🏢 Address: 0687589621

About This Business

Ninahusika na kutengeneza fresh flowers kama vile gifts na parkege za aina zote kwa ubunifu wa Hali ya juu pia natengeneza mashada ya misiba ya flowers kwa bei poa kabisa pia napamba picha za wapendwa wetu wanaotangulia kutokana na size unayotaka ninatumia fresh flowers na natengeneza maua ya bibi h

Ninahusika na kutengeneza fresh flowers kama vile gifts na parkege za aina zote kwa ubunifu wa Hali ya juu pia natengeneza mashada ya misiba ya flowers kwa bei poa kabisa pia napamba picha za wapendwa wetu wanaotangulia kutokana na size unayotaka ninatumia fresh flowers na natengeneza maua ya bibi harusi kwa bei poa Kabisa,na ukihitaji kitu chochote kinachohuska na flower basi usisite kubitafuta Hakika hautajutia kuhudumiwa na Mimi karibuni Sana.

Contact Information

📞 Phone Number
✉️ Email
💬 WhatsApp
📸 Instagram
👥 Facebook
🛍️ Listed Products
No Products Listed Yet

This business hasn't added any products to their catalog yet.