Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Wazo
nkyacalvin06@gmail.com
Wellnanziku@gmail.com
Byges investment LTD is the best company printing Solutions in Tanzania , located Tegeta opposite Azania bank Printing quality material such us Burner , stickers , car branding , larger billboard printing , high technology cards printing
Fundi wa kupaua
edomc966@gmail.com
Ninauza mchele wa kutoka mbeya ni mzuri sana ,mtamu kwa bei ya sh 1500 kwa kilo 1
Wauzaji wa nguo za kiume na za kike
Huduma zote za afya
Tunauza bidhaa mbalimbali za asili zitokanazo na mti wa mpingo ni imara, salama , vinadumu pia vinavutia vikiwa kabatini au mezani jipatie:- + glass + bakuli + sahani + vinu vya kutwangia viungo + jagi + bilika nk
Tunafanya huduma za bustani ya maua ktk jiji la Dodoma. Tunaandaa bustani,tunakodisha eneo la bustani kwa ajili ya picha na matukio mbalimbali ya mchana. Tunauza na kukodisha maua ya aina zotr. Tunauza pots za maua za iana zote.
biashara yangu inausika na kuuza udongo kwa mazao mbalimbali kama mboga za majani mau na miti midogo midogoq
Tunatengeneza cake nzri kwaajili ya shughuli aina zote, keki zetu ni laini, tamu hazina sukari nyingi... you can taste the difference
Tunauza games mbali mbali kwa ajili ya kucheza kwenye events mbalimbali
Tunauza samaki na dagaa watamu kutoka Mwanza. Tunauza SATO na SANGARA Fresh, waliokaangwa na waliokaushwa na kwa dagaa tunauza dagaa wa kukaushwa kwa jua na waliokaangwa kwa viungo kama tangawizi, vitunguu swaumu, pilipili manga, chumvi na limao.
Kidemi arrays ni wauzaji wa nguo za kike za mtumba grade A.Tunafanya delivery Tanzania nzima kwa uaminifu mkubwa...Biashara yetu ya nguo ni online business.Tunafungua mzigo mpya kila wiki.
Tunatoa huduma ya kuburudisha katika sherehe yeyote tunafanya live performance, dancing kwenye harusi, sendoff, birthday party, promotion, n.k.
We bake awesome birthday Cakes and chocolate cakes packages ..Delivery is available at cheap prices ??
JIPATIE SUBWOOFER YA GARI BAJAJI NA NYUMBANI INA WTS 210 INA MZIKI WA KAWAIDA HAINA KIKI KUBWA ILA MZIKI WAKE NI MKUBWA WA KUTOSHA NIPIGIE SASA 0685427233/location MbeziBeach
Biashara duka la vyakula kwa reja reja na baadhi ya vitu kwa jumla.
Tunatengeneza ?Madirisha ya aluminium ?Milango ?Partition ?Makabati ?Balcony ?Vioo vya saloon Wasiliana nasi?0765110431
Bidhaa za afya
Fresh cake bakes Wedding Cakes, Happy birthday cakes, We makes Cakes for any occasions
Natengeneza Madirisha milango partition makabati ya alluminium na pvc Karibu upate kazi Safi na haraka ili ubadirishe muonekano wa nyumba yako.
Kimbilio general traders LTD ni kampuni inayotengeneza bidhaa tofauti ambazo ni karamela peanut butter,karamela Tea masala, Karamela Pilau Masala pamoja na karamela remover JIK karibuni Bei zetu ziko POA
Nguo za mitumba za watoto wadada wamama na mashati ya kina kaka pamoja na mashuka mazuri na mapazia vyote vya mtumba grade one
ushereheshaji (Mc) upambaji wa kumbi za sherehe music Kukuandalia sherehe yako nzima
Kuuza magari,vyumba,nyumba na viwanja
Biashara online product mbali, mfano mini perfume,lation,na nguo
Tunatengeneza na wauzaji wa fanicha mbalimbali nzuri na imara.
Cleaning products Fertility kwa wanawake na wanaume Mbolea bora Virutubisho kwa watu wote na watoto
Tunafundisha kubadili taka kuwa bidhaa
Website Design. Content Creation, Stunning Graphics and Animations plus Hosting.
Tunazalisha na kuuza mbao/nguzo za plastiki, haziozi, haziliwi na wadudu na zinadumu muda mrefu. Mbao/nguzo zitokanazo na taka za plastiki (100% recycled) zipo katika size tofauti. Zinafaa sana kutengeneza thamani, kuweka uzio, kujenga camp za watalii
Alizeti safi kutoka Singida inapatikana.. Lita1, 5 na20.. Delivery ipo kwa wakazi wa Dar karibuni sana.
We are dealling with leather goods eg:shoes,sandals,bags,school shoes,wallets and belts.
Rica sunflower oil its a pure sunflower oil from Singida cholesterol free it doesnt consist cholesterol at oil its clean and advisable to use for health purpose.
Welcome Maxqual steel Formworks and Scaffolding solutions. Our company hires and installs steel formworks for SLAB, BEAM COLUMNS e.t.c for all construction sizes. Tunakodisha na kufunga Mirunda na Sahani za chuma kwa matumizi ya Slab, Beam, Nguzo n. k
best computer & laptop saller
This is a business portal specifically designed to complement Dar es Salaam growing economy.
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →