Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Bunju
House for rent
1-*Tuchoma nyama zote 2-*Tunatengeneza supu na michemsho yote 3-*Tunasuply vinywaji kwa sherehe zote 4-*tunatoa huduma za mapambo 5-*Vyakula vya sherehe Aina mbalimbali
TUNAAGIZA BIDHAA KUTOKA CHINA KWA GHARAMA ZA KIWANDANI.
Snacks and Nuts
Cosmetic
Uuzaji wa Nguo za watoto na vifaa vya watoto aina zote.
Its Online Business? Nauza Nguo,Viatu,Cosmetics,Foodstuffs? Yhua All Welcome? #WeMakeYouLoveYourself♥️
Tunatoa ushauri, mafunzo na kufanya usajili wa Makampuni na Majina ya biashara kwa kutumia mfumo wa BRELA ORS. Tunaandaa Michanganuo ya biashara, Matangazo ya biashara, nembo za biashara/Logo.
house design
ujenzi
edward.dani64@gmail.com
Phones and Accessories
gospel music production audio na videos
Najihusisha na kuuza bidhaa mbali mbali
wesmartafrica@gmail.com
Wesmartafrica@gmail.com
upvc and aluminum windows and doors system balcony, glass baluster
Kuuza simu mpya na original
Tunahusika na upangishaji nyumba vyumba, pia tunauza nyumba na viwanja contact 0711421798
Urembo, mwili, ngozi
We are distributor and marker of different products We do sales promotions Branding of new business
Mobile phone accessories and gadgets
Tuna tengeneza cakes za all occasions kama Graduation Birthday Engagement Wedding & Sendoff
REAL ESTATE SERVICE AGENT ~>HOUSE RENT ~>APARTMENTS ~>PLOTS ~>HOUSE SALES
Ni bidhaa nzuri Yenye Radha Na Kuleta Hamu Ya Kula Inatumika Kwa Watoto na Wakubwa
inahusiana na vitu/vyombo mbalimbali vya nyumbani
Maelezo ELECTRIC FENCE Hii ni fence ya umeme yenye kupiga shoti, pindi mtu yeyote atakapojaribu kukatiza fence kuingia au kutoka nje ya kampound kupitia either juu ya ukuta au mahali ilipofungwa fence, pia kingora kitalia na taa ya strobe kutoa taarifa
tunauza nguo za kike .nguo za watoto na nguo za ndani
Tunafanya kazi za Ufundi wa Kupaka Rangi Majengo/Nyumba kwa Hali zote, kuanzia Hatua ya Kwanza mpaka ya mwisho. Miundo na urembo ikitegemea uhitaji wa mwenye nyumba. #Sisi ni familia (mme na mke). Ndg, Rafiki na Jamaa, karibu tukuhudumie.
Napika vitafunwa vya aina zote pamoja na chakula kwa oda kwa ajili ya majumbani na sherehe mbalimbali
Nauza kwa njia ya online viatu,nguo hand bag ,vyombo vya ndani
furniture aina zote makabati vitanda meza za chakula meza za kusomea sofa aina zote
Nauza mashat ya kiume, tshirt za kiume pia nauza blazer za kike,
Tunatoa huduma za graphics design, video editing, photoshoot Web Design and Development, Branding, tuna design vifungashio (packges) mbalimbali na Digital Printing
madirisha,milango,makabati, partition vioo
tuna tengeneza madilisha milango fremu gate fance gate slide gate vitanda na ferniture mbali mbali za chuma
Tunausika na upambaji maharusi kutengeneza mitindo yote ya nywele pia yunaweka dawa kwenye nywele. pia tunauza Tait zakike kwabei poa kabisa. Tunasuka nywele mitindo yote
Our business is based on womens and mens shoes and sandals.
Kwa Huduma Za ufundi wa kufunga viyoyozi(Air condition) za aina zote na Service wasiliana nasi kwa namba 0752 44 37 77
We make the highest quality leather, fabric and canvas products, including travel bags, male and female bags, office bags and hotel/restaurant menu and corporate products.
We deal with micro credit activities ie mikopo
Wauzaji wa mafuta halisi ya Nazi ya kimiminika na mgando kwa Bei ya jumla na rejareja. Mafuta haya ni halisi yaliyokamuliwa kwa mashine za kisasa na kuchujwa kwa usahihi. Tupigie tukuletee popote ulipo kwa mkoa wa Dar es salaam bila malipo yoyote.
Tunauza vitu Aina zote Kama nguo,viatu,TV,sabufa,mashuka,makabati,maua ,stool,n.k karibu sana
we sell shirts,trousers,cadets,shoes,wallets
Beauty cosmetics and person care
Marcdecor tunatengeneza na kusambaza maua kwa kutumia karatasi. Pia tunapamba shughuli Birthday, Bridal Shower, Baby Shower, Engagements, Wedding, Baptism, Anniversary, Sendoff, Commnio. n.k
Dealing with Selling Sofa sets , sofa repair and design all type of furnitures (eg. dining tables,, beds etc )
Sale Kitchen utensils
Tunauza mashamba nyumba na viwanja maeneo ya Mapinga na Vikawe bagamoyo
The business focus on manufacturing and selling ladies handbags made of vitenge those dots to put large laptops up to the small ones and sold at different prices ranges from 10 000 up to 30000Tshs.
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →