Decoration finish
Pezesha nyumba yako ata wewe unawezakubadili nyumba yako ata Kama upigarangi
Est: 2012
Est: Urembo wa nyumba wakisasa
M Way Marketing Agent
Samaki Wabichi, Wakukaanga Na Kukausha kwa moshi Aina Ya Sato na Kambare
Est: 2021
Est: Kijichi njia ya ngombe
Neolife foundation
Product za usafi wa maofisini na majumbani kama vile super10, care, carpet glo, G1 loundry hii ni sabuni ya kufulia na inafua yenyewe
Est: 1958
Est: Neolife product
Star look trendy
Tunauza bidhaa mbalimbali kwa jumla na rejareja. Bidhaa kama nguo zinaoenda na wakati, Viatu, Jewelery kwa jinsia zote, urembo na vipodozi
Est: 2021
Est: Masika
Alluminium window & door
Tunatengeneza madirisha milango makabati na patisheni za Aluminium
Est: 2020
Est: Temeke mwisho Dar es salaam
Gypsum za kisasa
Utengenezaji wa gypsum, showcase za Tv, upigaji wa rangi ndani na nje.
Est: 2014
Est: kijichi
grace outfit
uuzaji wa nguo za watoto
Est: 2021
Est: chamanzi barabara kuu kuekekea mbande mwisho kituo cha songas
BOXER CC 150 NEW MODEL PIK PIK BADO MPYA
Tunauza pik pik used na bajaji pia tunatuma kwa uwaminifu
Est: 2021
Est: k.c.b bank mbagala zakhem
huduma za afya
Tunatoa huduma ya vipimo vya mwili mzima kwa Tsh 15,000 tu
matibabu kwa tibalishe
ushauri bure kutoka kwa daktari
Est: 2014
Est: zakhem
MR MAPIKI PIKI
tuna husika na uzaji wa pik pik used bajaji used pamoja na magari used
Est: 2019
Est: raphaelerick540@gmail.com
VIWANJA BEI NAFUU.
OFA OFA VIWANJA KWAAJILI YA MAKAZI.(VIKINDU NA KISEMVULE) 0713616316.
Est: 2020
Est: VIKINDU
MBOLEA BORA YA KILIMO
SUPER GRO.ni kirutubisho cha mimea cha asili ya aina zote na husaidia wakulima kuongeza mazao na kupunguza gharama za kilimo katika madawa na mbolea.
KAZI ZA SUPER GRO.
1.Husaidia maua yasipukutishwe au kuangushwa na upepo hivyo huongeza uwingi wa mazao.
Est: 2021
Est: Mivinjeni
Clothing
Biashara yangu ni ya kuuza nguo kwa bei ya jumla na rejareja kwa bei poa sana
Est: 2018
Est: Chamanz magengeni
Aza Book Shop
Pata vitabu mbali mbali vya mitihani kuanzia shule za msingi na sekondari na kwa shule za Academy vinapatikana.
Est: 2011
Est: Mbagala Rangi tatu
Idabucollection
.TUNAAGIZA BIDHAA KUTOKA CHINA KWA BEI YA KIWANDANI
.TUNAAGIZA KWA ODA TU
.TUNAUZA KWA JUMLA NA REJAREJA.
Est: 2020
Est: Online business
Brina’s collection
Brina’s collection ni store ya nguo za kiume na za kike pamoja na accessories mbalimbali. Ni online based business with delivery services in Dar na mikoani pia tunatuma. Karibuni sana
Affordability is the Key??
Est: 2018
Est: Zakhiem
Viwanja/Kiwanja
Kiwanja kinapatikana Mbagala Kongowe, ukubwa ni 40M × 35M.
Kilipo kiwanja unashukia kituo cha Mzinga, unatembea dakika 15 mpka kwenye eneo. Ni sehemu nzuri.
Est: 2020
Est: Mbagala Kongowe (Mzinga)
KUKU WAMCHESHO NA WAKUCHOMA WAZIMA
tunauza kuku wa kuchoma toa ODA uletewe bei 6500 tu kuku wakubwa kuanzia 1kg na kuendelea
Est: 2019
Est: Mbagala Zakhem sokoni
Cosmetic
Tunawasaidia wanawake wanaosumbuliwa na ngozi zao zinakua na chunusi, makovu, ngozi kuwasha nk.
Est: 2019
Est: Nunu Natural Skin Care
MOVIES
Karibu kuangalia filamu bomba za kitanzania .@halisi tv
YOUTUBE HALISI TV
Est: 2017
Est: Yombo
real estate agency
na deal na uuzaji wa nyumba ,magari na viwanja pia kama unahitaji gari ya uhakika mpya ama used nitafute whatsapp 0782705666
Est: 2017
Est: home of real estate
New jay hot chilly
Tunatengeneza pilipil, mbilimbi picko, sabuni za usafi na unga wa lishe
Est: 2014
Est: Zakhiem
Logo maker & T-shirt printing
Natengeneza logo pia na print T-shirt za matukio mbalimbali kama vile birthday n.k
Est: 2020
Est: G/mboto -ulongoni
fundirangi pascal
Tunapakarangi kufunga board pvc tiles urembo wamadirisha pevinblock dizaini za sitingroom.Material yakisasa drewa conmix nk.=
Est: 2015
Est: 0713712375
Business Management
Ninahusika na uuzaji wa nyumba viwanja mashamba kwa wenye shida navo ??
Est: 2020
Est: Sehemu Mali mbali
Culture and accessories
Nauza bidhaa zote kwaajiri ya sherehe mbali mbali hata kuvaa popote.niko dar mbagala
Est: 2017
Est: Mbagala
JITIBU NA DR.MAPANDE
Matibabu ya magonjwa sugu kama presha, kifafa, vidonda vya tumbo,ngiri, pumu nk
Est: 2017
Est: jipimeafya@gmail.com
Mamaiya_Cakes
Tunatengeneza cake za aina mbali mbali kama vile vanilla,chocolate,redvelvet,blackforest n.k
kwa bei nafuu kabisa kuanzia 30,000/=
Est: 2020
Est: Mzambarauni
wauzaji_wa_magari_usedd
KWA MAHITAJI YA KUUZA AU KUNUNUA MAGARI KARIBU @WAUZAJI_WA_MAGARI_USEDD
Est: 2018
Est: CHAMAZI
IRENE COCONUT OIL
mafuta asili ya nazi
ambayo hayana kemikali ya aina yoyote ile, yanatumika kupakwa kwa wanaume na wanawake, wakubwa na watoto, ni mazuri sana husaidia mambo mengi sana kama kukuza nywele, kulainisha ngozi,kufanya massage, kuondoa makeup, kupikia nk..
Est: 2018
Est: biashara ipo Mkoani shinyanga ila mikoani tunatuma
Viwanja Kisemvule
OBEY NEW VILLAGE inakuletea OFFER Kabambe ya viwanja vya makazi kwa bei nafuu, Wahi mapema,
Est: 2014
Est: Kisemvule
NGEMBA WELDING & FABRICATION
TUNATENGENEZA
_Grill
_Main Gate (mageti ya mirangoni)
_Slide Gate (mageti ya kisasa)
_Dressing Table
_Henga za mabegi,nguo na viatu
_N.k
Est: 2018
Est: westigermtumbuka@gmail.com
Masoud Diller Busness
Jezy za team.
Magari
Spare za magari.
Battery za magari
Oil za magari
Matairi ya magari.
Est: 2020
Est: Temeke Sudani near Bigbon petrol station1
Mashirima Tours and Sfaris Company
.Tour operators activities
.Short term accommodations activities
.Creative,arts & entertainment
Est: 2019
Est: UVIKIUTA
Smartboy empire
Tunauza bidhaa mbalimbali
Mpya{new}
Za zamani{used}
Tunatuma pia mikoa yote kwa gharama nafuu
Est: 1996
Est: Smartboy empire
Philcovers
Tuna weka skin cover za laptop na simu, tablets pamoja na Ipads. Cover za laptop tunaweka kwa elf 20 Full, kuweka nyuma au mbele pekee ina kua Elf 15, simu aina zote tunaweka kwa tsh. 5,000 tu, Tablets na Ipad Tsh. 10.
Call 0652712371
Est: 2020
Est: Kizuiani
Sina products
Tunauza asali mbichi na korosho, tunapatika Chamazi,Dar es Salaam
Est: 2018
Est: Mbande
DAR EAST FIRM INVESTMENT
Wauzaji Wa Mifugo, Ngombe, Mbuzi,Sungura, Kuku,Bata ...Wausambazaji Wa Mbegu Zote Asili,Wauzaji Wa Mchele, Unga Sembe Na Dona,Mafuta Ya Alizeti
Est: 2016
Est: Mtoni Kijichi (Main Kisarawe)
Batibomba
Karibuni wateja wetu kujipatia bati lmara ambazo niimara hazipauki pia kuna ofa nyingi san ufikapo kiwandani epuka matali tupo mbozi rod maeneo yasoka ulipo popote nasi tupo
Est: 2018
Est: Mbozi rod geti no 24
maratu hair dressing salon
vifaa vyote vya kusukia na kupambia maharusi
Est: 2009
Est: kongowe kanisa katoliki
lea purity empire
Mafuta ya nywele(castor oil)
Bidhaa za usafi
Bidhaa za kilimo
Est: 2020
Est: mbagala, mgeni nani
Wakala mkuu
Natengeneza laini ya uwakala was halopesa .tigo.pesa.airtel.money.m.pesa.
Est: 2018
Est: Shabani wakal was halopesa
Dreads locks saloon
Kuanzisha dread,kuripea na kusokota,dread locs,,kusuka afroking,kubana style mbalimbali...Make up..Nails nk
Est: 2020
Est: Kijichi ccm
Ramani na ujenzi wa nyumba
Uchoraji nyumba
Vibali vya ujenzi
Ushauri
Ujenzi
Designing ya ndani
Finishing
Mafundi na watalamu wapo
Est: 2020
Est: bunju
jazra furniture
uaminifu ni kitu kikubwa kwenye kazi amelaaniwa mwenye kuaminiwa akafanya ghiyana natengeneza sofa design zote karibuni
Est: 2015
Est: keko furniture
F R SIGN
DESIGNER,PRINTING TSHIT,BUNER,STIKA, CAR BRANDING.
3D SIGN PYLON SIGN,INGREVING AND CUTING .
Est: 2013
Est: azizi ally round about
gypsum decoration
ujenzi
Est: 2017
Est: natumia mtandao kutangaza bizaa zangu inster gram,fb kwajinala omary magypsu
Tunaweza
Kutengeneza mabango, fliers, posters, business card, logo na pia kusambaza virutubisho vya mwili
Est: 2018
Est: Duka la njano
uchimbaji wa visima
1) kuchimba kisima kirefu/kifupi kwa matumizi ya nyumbani, shamba au mifugo
2) kusafisha na marekebisho ya kisima
3) kufunga na matengenezo ya pump
Est: 2017
Est: Majimatitu
neolife
biashara yangu inahusika na sabuni,vipodozi, afya pamoja na kilimo
Est: 1998
Est: sinza madukani
wachimbaji visima
UCHIMBAJI WA VISIMA VYA KISASA KABISA KWA UBORA WA HALI YA JUU,TUNASAFISHA VISIMA KWA MASHINE ZA KISASA KABISA NA TUNAFANYA SERVICE YA PUMP,TUNAUBORA WA HALI YA JUU KABISA.. TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM,KWA MAWASILIANO UNAWEZA KUPIGA NAMBA.0657 485 084. AU UNAWEZA KUTUTAFUTA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWAJINA LA WASAFISHAJI VISIMA
Est: 2020
Est: chalambe
Olyshoppingtz
Online Shopping ! Tuna deal na Uuzaji wa Smartphone za Ulaya. America na Asia ..Bidhaa za Kudumu na Bora zenye uwezo wa kipeke.
Est: 2019
Est: Kariakoo Gerezan Somali Kipande
Yuster Henry
CERENETTZ
UKIJIUNGA NA CERENETTZ UNACHAGUA NA KOZI UITAKAYO SIDO
1--UTAPATA MAFUNZO YA BASHARA
UJUZI WA KUTENGENEZA VITU MBALIMBALI
BIMA YA AFYA
PIKIPIKI MPYA NA GARI
YOTE HAYO NA MENGINEYO UTAPATA KWA SH 25000 TU
Est: 2020
Est: SABASABA MAONYESHO
Cake tamu
Nikeki tamu tunauza kwabei tofauti kutokana namakubaliano na mteja pia tunakuletea mahali ulipo utalipia elf5 kukufikia
Est: 2020
Est: mbagala zakiem
Eagle pub
Eagle pub ni pub ambayo iko kwwnye mazingira mazuri na rafiki kwa wateja wangu.Hivyo nawakaribisha wote mje mjione wenyewe huduma zetu.
Est: 2020
Est: Majimatitu chasimba
double G pure black castor oil
Ni wauzaji wa mafuta ya nywele ambayo yanakuza,yanajaza,yanarefusha,na kuondoa mba kwenye nywele yako na kufanya nywele yako iwe nyeusi
Est: 2018
Est: Mbagala rangi tatu
Narscent Fresh Food
Hizi ni karanga za mayai, zenye ladha nzuri kabisa. Zina mayai, sukari, chumvi na ngano kidogo.
Est: 2016
Est: Changombe TRA
Tharie Decoration
Tunauza duvert, shuka,pazia, saa za ukutani, kabati za nguo nk
mawasiliano 0711738806
Est: 2020
Est: Online business
Smart house design
Tuna husika na uchoraji wa ramani za nyumba pia tunafanya finishing za nyumba na tunafanya design mbali za gypsum design
Est: 2020
Est: Mtoni kijichi
Tika agrovert
Tunatoa huduma za kilimo n a mifugo pia ni wauzaji wa pembejeo za kilimo na mifugo.ushauri bure
Est: 2018
Est: Tika agrovert
Shatoooz mjasilimali
Ni chakula chenye uwezo wa
kujenga mwili
na kuweza kupatia mwili vitamin
Est: 2020
Est: Shatoooz mjasilimali
Alpha super Diamond
Ninahusika kuwasaidia watu wenye changamoto ya vidonda vya tumbo
Est: 2018
Est: Mikocheni
MBIRU LOGISTICS COMPANY LIMITED
IMPORT/EXPORT, TRANSPORTATION, CONSTRUCTION,CLEARING & FORWARDING
Est: 2020
Est: LOCATED AT MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM
mlaponikiko_funiture
Tunatengeneza FUNITURE za aina zote kwa ubora wa hali ya juu
Usiangaike kupata suluhisho la moyo wako kuhusu samani bora tuone MLAPONI_FURNITUR
Est: 2015
Est: Keko barabara ya changombe
Antwabi decoration
Kwa mahitaji yote ya nyumba yako yanayohusiana na urembo wa ndani kwa uyumiaji wa Gypsum kuanzi design za sitting room,Dinning room, Master room, tv wall, korido design,vibaraza vya nje,urembo wa ukutani,kabati za nguo,shelf za ofisini,dukani,saloon n.k
Est: 2019
Est: YouTube,Facebook,Instagram : Antwabi decoration b
Huan Associates Limited
Dealers:
Fumigation Cleanliness Fire Fighting Equipments General Supplies &Stationaries.
Est: 2018
Est: Allover the Country
MyDiko
MyDiko ni sehemu pekee ambayo inakuwezesha kupata chakula unachokipenda kwanjia ya mtandao.Pia wapishi wengi wanatangaza vyakula vyao kwawateja wao.
Est: 2016
Est: Temeke