Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Keko
Mabati imara kabisa tena kwa bei nafuu IT5 CORRUGATED VERSATILE
tuna piga picha aina zote tunafanya video shouting katika shugri mbali mbali pia tuna tengeneza filama /Tunafanya Editing Nk
stephanop681@gmail.com
HALA International Agency Ltd is a growing commercial cleaning and fumigation services provider located DSM. Our services 1. Commercial Cleaning services 2. Domestic Cleaning services 3. Retail Cleaning services 4. Fumigation and Pest control services
furniture
Uuzaji wa kekii aina zote,,na recipe mbalimbali
johdisliker19@gmail.com
Natengeneza furniture aina zote kwa order tunapatikana keko bora kwa namba ya whatsap 0689202144
Agiza bidhaa kutoka china kwa bei ya kiwandani kabisa , bidhaa zenye ubora kabisa, agiza pazia , shuka , viatu , home appliances zote , gadgets zote simu, tv , laptop na camera pia kwa .bonyeza link kwenye bio ya page yetu uweze kujiunga na group kwa oda na bidhaa mbali mbali ,pia tuffollow Instagram kwa exclusive zote na bidhaa zote , call au whtsaap 0747531007.join hapo chini uingie kwenye group moja kwa moja=G<
samani za ndani makabat vitanda dining table dressing table kitchen cabinet showcase nk
Tunatengeneza wiring za majumbani zenye viwango bora kabisa, pia tunauza bidhaa ndogo ndogo kama sabuni ambazo ni bora kufulia unaweka ktk maji na kuweka nguo ikijifua yenyewe
Tunauza bidhaa kama nguo za kike na kiume,pochi,viatu na vijora
Natengeneza feature za majumbani na maofficn
Karibu ujipatie Bidhaa mbalimbali za kutumia majumbani kwa urahisi na uhakika kwa Bei nafuu. Kama vile Double sided Grill Pan, Multcooker, Blender Juicer 4in1 n.k
WATENGENEZAJI NA WAUZAJI WA SAMANI MBALI MBALI KAMA VILE SOFA SET VITANDA DIZAIN ZOTE MAKABATI DRESSING TABLE COFFEE TABLE DINNING TABLE TV STAND STEND ZA VIATU NK.
Mabingwa wa kuuza na kutengeneza furniture aina zote zinapatikana kwa odda usiache kututafuta whatsap no.0627516751
Ninauza MBAO za aina zote kuna MKONGO,MNINGA,MTONDOLO,MKANGAZI,MNANGU na kazalika saizi zote kwa bei nafuu kabisa karibuni wateja nipo keko toroli kwa mawasiliano namba 0653741563/0786171581
Wauzaji na watengenezaji wa mabati ya kisasa na wanauza kwa bei ya kiwandani.
Tuntengeneza na kuripea sofa aina zote call 0743583541
furniture
furniture
Kwa yeyote muhitaji wa kazi zenye ubora nafuu na uhakika zinazo husu Graphics Design usiache kutuchek shedy creative design tukuhudumie kwa kiwango cha kimataifa ..Karibu sana tunakupenda
Tunauza furniture za kila haina
tunatengeneza ferniture zote za majumbani na mashuleni
Custom-Made Furniture
Dealers: Timber (Mninga, mcongo, mwembe n.k) Furniture of any design kama vile makabati, vitanda, sofasets, dressing table, office furnitures, coffe tables n.k
Kwa mahitaji ya furnitures nzuri kwa bei nafuu kama makabati vitanda showcase meza viti etc.tu follows @ts_furnitures Au tupigie?0719-714298 na whatsapp. Pia tunapatikana keko near na Chuo cha veta Dar es Salaam na Mikoani tunatuma kwa bei nafuu. @ts_fu
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →