Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Makuburi
sophiamagwaza5@gmail.com
Johnngereza5@gmail.com
furniture
Bidhaa mbali mbali kama vile mashuka na vyombo vya majumbani
dagaa nono kutoka mwanza waliokaangwa
Usiumize kichwa kwasababu ya maandalizi ya UNGA WA LISHE kwaajili ya mwanao na familia kwa ujumla MKOLWE PRODUCTS inakuletea UNGA WA LISHE BORA kwa bei ya Tsh.2500/= UNGA wenye protein yakutosha, calcium, phosphorus, zink na magnesium karibu sana
Tunajihusisha na utoaji elimu Kwa wajasiliamali ,itakayo wasaidia kuongeza kipato chao cha ziada bila kuathiri shughuri zao za kila Siku. Karibu,upate elimu itakayo saidia kuinua kipato chako. KARIBU SAANA
Tupo kwaajili ya kupendezesha na kusherehesha sherehe mbali mbali hapa jijini dar es salaam na nje ya dar es salaam gharama zetu ni nafuu sna. Karibuni sna upate kilichobora kutoka kwetu
Nauza nguo za jinsia zote napatikana tabata Kisukulu pia tunafanya delivery popote pale kwa gharama za mteja
Graphic design, printing, photography na video production
Kitchen_tz ni wauzaji wa vyombo vya ndani unique na yenye ubora wa hali ya juu, pia vifaa vya umeme kama vile hair driers, washing machines etc, Tunapatikana ubungo external, call/WhatsApp 0712839901
Wauzaji wa nguo za mtumba grade A kama vile scarf, mashati ya ofisini na mitoko ya kawaida magauni, na masweta
Mi Craftindustry Ni Watengenezaji Na Wasambazaji Wa Viatu Vya Maasai Vya Sampo Tofauti Tofauti Kwa Jumla Na Reja Reja.
Jipatie Unga wa Dona Unga wa Lishe Unga Wa Muhogo Unga wa Mtama Unga wa Mchele Sabuni za Usafi Sabuni Asili ya Uso Bidhaa zetu ni Fresh wakati wote Tunazingatia Usafi kwa usalama wa afya ya mlaji Tunafanya delivery popote kwa bei nafuu sana Simu: 0788288589
Afya,Usafi kwa Ujumla,Kupunguza/Kuongeza uzito na Mbolea.
Online web shop
-Oral&dental care/Kinga na tiba kwa magonjwa ya kinywa na MENO.
Mimi ni mfanya biasha wa tairi kubwa za malori makubwa supasingo ambazo Namba zake ni 385/65/22.05 na tairi ndogo Namba 315/80.22.5
fabolous_choices ni online business ambayo inauza bidhaa mbalimbali ikiwemo na pochi(handbag),hereni(earings),cheni(necklace),saa(wathes)za kike na kiume, pamoja na bidha nyingine nyingi. =IUkishop na fabolous_choices unauhakika wa kupata kilicho bora na kwa bei rahisi zaidi. =IUkishop na fabolous_c
Karibu ujifunze graphic design.... https://youtu.be/_g4SECeISgc. Gusa hii =F<
Actual Media is a multimedia service provider, that was founded on the desire to offer the highest quality product in Graphic Design, Printing, #Videography, Photography, and Digital Marketing services in a cost-effective way. Please Get in touch with us.
TUNAUZA VITU MBALIMBALI VITU USED NA VIPYA KWA BEI NAFUU SANA SAWA NA BUREE
We are dealing with interior and exterior decorations. Get handmade products from us since we do by ourselves.
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →