Tunafanya utafiti wa madini Ardhini, na Uchimbaji wa Visima virefu vya Maji
#MADINI - Tufanya utafiti wa Madini Mbali mbali Ardhini Kama Dhahabu,
Almasi Ruby, Sapphire, Silver na Emerald kwa Laki 5 kila ekari na
unaweza kulipa kwa asilimia baada ya uchimbaji kuanza katika eneo
lako.
#MAJI - Tunachimba visima vya Maji
Est: 2017
Est: mbezi mwisho
seat cover &sofa
natengeneza seat cover za magari aina zote roof za gar na bamber zake pia pazia za bajaji na roof zake na pia sofa aina zote nafanya repair za sofa aina zote tunafanya kaz paka nyumbani na kwa uaminifu kabisa
Est: 2017
Est: mbezi lound about ya kwenda kinyelezi
Tom Mtindi and yorghut Hous
KWA MAJINA NAITWA TOM NAJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA MAZIWA (MTINDI NA YORGHUT) KWA ODA KWANZIA LITA 5 KWA BEI NAFUU ZAIDI KARIBUNI
Est: 2021
Est: MBEZI MWISHO
SIVA CLEANING SERVICE
ni biashara inayo husika na hutoaji wa huduma ya usafi wa ndani na wa njee usafishaki wa TILES zilizo chakaa na kuziweka kuwa zinazo ngaa na kupendeza sana pia tunauza dawa za kusafishia TILES na masink ya chooni zinapatikana ni dawa ambayo ni suruhisho la uchafu unao chafua TILES na masink
Est: 2021
Est: mlandizi kibaha
Gypsum expert
Unataka TV cabinet,siling na hatch za gypsum za kisasa, lakini hujui utapata wapi mafundi watalam waliobobea, waaminifu?. Sasa ondoa shaka umesha wapata. Follow uor fb, tweetter & instagram pages, to get new update every time. @gypsum_expert_tz
@gypsum_
Est: 2007
Est: Dar
MABANGO NA STICKER KWENYE SALOON Tunakudizinia BURE unavyohitaji kuweka picha ,michoro,rangi, na ur
rauphkhasim2@gmail.com
Est: 2021
Est: rauphkhasim2@gmail.com
Ojay Electronics
Tunauza bizaa zote za electronics kwa bei poa kuliko kariakoo na tunatoa warantee
Est: 2019
Est: Mbezi luis Dar
Designer & promoter
Tuna design matangazo na poster kisha kutangaza kupitia website yetu & social media
Est: 2019
Est: Idawa blog
Photography
Sendoff|Wedding Coverage|Birthdays|International Bookings. Photoshoot coverage.
Est: 2019
Est: Makabe
Masha Products
Tunaandaa unga halisi wa Mlonge kama kirutubisho kwa ajili ya kuimarisha Afya ya Mwili
Est: 2018
Est: Online
ongezeka autoparts
spare za mabasi makubwa ya kichina kama yutong, sunlong, higer,golden dragon,asia star, zhonton
Est: 2021
Est: mbezi stand ya Magufuli/ mita 300 toka stand
Tafiti Consult limited
Tunatoa huduma za ushauri wa namna ya kuandaa tafiti mbalimbali za kielimu na kibiahsara kwa ngazi/level zote
Est: 2021
Est: Mbezi Beach Tangibovu
Wilhelm haule hardware
Wauzaji wa vifaa vyote vya ujenzi pamoja na mbao zote
Est: 2010
Est: Kwa paulo
Juice Bar
Nauza juice za matunda aina zote,smoothies pamoja na fruits salad za aina mbalimbali.
Est: 2021
Est: Mbezi,kibanda cha mkaa.
Cananland Marketing
Ununuzi,Uuzaji na Upimaji wa Viwanja,Mashamba.
Est: 2018
Est: Mbezi Temboni( Kwa Msuguri)
Transport servirces and booking
Tunatoa huduma ya usafirishaji wa parcels mizigo kutoka Dar kwenda mikoa yote
Kukata tiketi za mabasi yote kutoka Dar kwenda mikoa yote Tanzania
na nje Kwenda nchi kama Kenya ,Uganda
Est: 2021
Est: Mbezi luois
Doris Bracelets Tz
Tunauza bracelets za kike na za kiume, holder za funguo, cheni pamoja na accessories nyingine kadha wa kadha za kike na za kiume. Kwa maelezo zaidi tupigie kwa 0737898056 au tucheck kwenye social media instagram @doris_bracelets.tz
Est: 2020
Est: Mbezi Mwisho
Molton Milk
Maziwa yanapatikana Kwa Bei ya Jumla na Rejareja kwa Jumla lita moja 1,500/=Rejareja ni 1,700/=karibuni Sana mjipatie maziwa yenye kiwango,Ngombe wetu ni wakienyeji kabisa...
Est: 2021
Est: 0765597118
Three Ace Motors
Karibu three ace motors in mwanza tanzania
Karibu ujipatie gari kwa bei nafuu kabisa
Kwa mawasiliano zaidi piga no +255763 333 333 au Website yetu Three_ace_motors
Est: 2021
Est: Mwanza makongoro load
Dreamy Party
Its all about party. Tunauza keki,bite,mapambo ya party tunapamba kwenye party,tunafunga zawadi na kuuza zawadi pia tunakodisha viti vya watoto na meza.
Est: 2020
Est: Kwa Lipelanya
Brilliant Agrotech Co. Ltd
✓Greenhouse installation
✓Drip Irrigation system installation
✓Fish farming
✓Agronomic support
Est: 2020
Est: Brilliant Agrotech Co. Ltd
Houseof_terries
♦️Tunauza acssesories zote za kiume na kike
♦️online based
♦️saa,wallet,mikanda, cadet etc
Est: 2017
Est: Mbezi inn
Fu
Fundi wa sitcover , file bags, begi za shule na sofa aina zote
Est: 2018
Est: Mbezi stand ya maramba
Perving brock
(1)Tunatengeneza Perving brock.
(2)tunasawazisha eneo.
(3)tunajenga perving brock.
(4)tunakodisha machine yakushindilia.
(5)tunadizain garden.
Est: 2014
Est: kwa Msuguri
Kings transport
tunasafirisha mizigo isiyozid tani 10 ndani ya tanzaniaa
Est: 2018
Est: kings transport
Bidhaa za usafi wa majumbani na maofisini
Nauza bidhaa za usafi wa majumbani na maofisini zenye ubora wa hali ya juu
Est: 2017
Est: Sinza madukani
Electronic Money Transfer Creation
Utoaji Na Utengenezaji Wa Lain Za Uwakala! AirtelMoney, Tigo-Pesa, M-Pesa, na Halopesa
Est: 2019
Est: Mbez Louis
Zengo Food Products
Kuuza Asali mbichi, mayai ya kuku wa kienyeji na ya kanga na mafuta ya alizeti
Est: 2020
Est: baschool2020@gmail.com
3 apartment for sale near mbezi luis bus stand
3 apartment for sale locatet at mbezi Luis near bus station. 200m from the road .price 45 million negotiable. Its fens gate apartment.for inquiry call or text 0620206714
Est: 2000
Est: Kijitonyama
PAWNS_ALLUMINIUM_PROJECT
Tunahusika na utengenezaji wa madirisha na milango ya alluminium.
Pia tunao wataalamu wa kutengeneza balcony za kisasa kabisa zile za kuchomelea na kufunga kutoka uturuki.
Kwale wanaohitaji madirisha ya P. V. C iwe ni double glass au single glass.
Est: 2020
Est: PAWNS_ALLUMINIUM_PROJECT
shontel online shop
pochi,wallet,saa,blender,viatu,tishir,mazuria,wallpapers,slipers,,NK..
Est: 2020
Est: shop online
Ney’s beauty soap
Ni sabuni ya asili ambayo inasaidia kwa watu wenye shida ya ngozi pia hata ambao hawana shida wanatumia pia ili kupata muonekano mzuri zaidi wa ngozi yako.
Est: 2020
Est: Mbezi Louis
Rashyline classic wear
Pata nguo nzuri na zakijanja za aina zote kwa watoto wakike ,pochi kali ,viatu vikali upendeze mjini ❤❤
Est: 2007
Est: Mbezi mwisho
Cattyz clips
Karibu ujipatie clips za ndizi,viazi, kokoto na tambi za dengu bidhaa zetu ni bora na tamu sana toa oda yako uletewe ulipo piga simu 0713051626 Karibu
Est: 2019
Est: Kinzudi
Anitha Best cakes & bites
Karibu ujipatie cakes za Aina mbalimbal na bites
????????????
Est: 2015
Est: Mbezi mwisho
Eminza Food Products
Wazalishaji na wasambazaji wa bidhaa bora ya BINGO TROPICAL ICE CANDY katika ladha tofauti.
Est: 2019
Est: Mbezi Luis
Neyspices
Neyvirgin coconut oil ni mafuta ya nazi yasiyopikwa wala kuwekwa kemikali,yanafaa kwa matumizi yote ya nyumbani kupaka,kupikia nk,hutumiwa na rika zote.
pia utapata appertizer ni pilipil inayokupa radha nzur
Est: 2015
Est: Kimara Temboni
Zengo Food Products
Tunauza mayai ya kanga, ya kuku wa kienyeji, asali mbichi na mafuta ya alizeti toka singida
Est: 2020
Est: Kwa Yusuph
G-HAULE super Agent
uuzaji wa magari, pikipiki, Tv, Bajaj, fridges,viwanja,nyumba,e.t.c
Est: 2020
Est: Mbezi mwisho
Kuku_wa_kienyeji_mbezi
Tunauza kuku wa kienyeji kwa sh 15000/-, kama una una mgahawa au jiko bar basi wasiliana nasi kwa namba zetu 0758851175, au tembelea Na follow page yetu ya instagram @kuku_wa_kienyeji_mbezi , karibuni sana
Est: 2019
Est: Msakuzi
Furniture
Karbuni sana bidhaa zetu nibora sana popote ulipo tunakufikia kwa haraka zaid bei zetu ni rafiki mnoo
Est: 2012
Est: Suleymani
DEX SOLUTIONS LIMITED
We design and build unique IT solutions that turn ideas into products, opportunity into competitive advantage, and Make IT clients into category leaders. We bring more than skill and experience to the table. We enrich every client engagement with a level
Est: 2016
Est: Konoike Road
kanjeclass wear
karibu sana tukuhudumie #pambakali kwabei nafuu Sasa ulipo mzigo unakufkia whatspp 0673850113
Est: 2020
Est: Mbezi ya kimara
kanje classic shoes
Hakuna haha yakwenda kariakoo ulipo mzigo unakufikia kwabei nafuu na Original.kwamawasiliano Zaid...
call/whatsp =
Est: 2020
Est: Mbezi mwisho opposite na NMB/Bank of Africa
Glm Viatu jumla na rejareja
Nauza viatu vizuri vya ngozi Kwa jumla na rejareja , pia tunafanya delivery ya mzigo popote ulipo Kwa kuchangia gharama kidogo mteja 0652886602
Est: 2017
Est: Kwa Masai
nguo za watoto mtumba
Tunauza nguo za watoto mtumba grade 1.
Tunapatikana Mbezi ya Kimara DSM.
karibuni sana wateja.
Est: 2020
Est: Mbezi karibu na CRDB Bank
G smile Collection
Njoo ujipatie simu za aina zote na accessories za simu aina zote ( iphones) kama chargers, covers, earphones na protectors
Est: 2019
Est: Gods Lodge and pub
Kidumu Video Library
Nauza cd , cover za simu protector,chaji earphone, tunafungua acount whatsap, instagram, twitter, facebook n.k
Pia tunasajili line aina zote
Bila kusahau tuna instal windo aina zote karibuni.
Est: 2010
Est: Kwa bundala msumi mbezi
msuva alluminium window and door
Tunatengeneza madirisha pamoja na milango ya aluminium kwa bei nafuu kabisa na tunakukabizi kwawakati bilarongorongo na bilakusahau mteja akitoa kazi afanyiwe madirisha ya chooni ni ofa atochajiwa kiasi chochote.mteja kwetu ni mfalme karibuni wote
Est: 2020
Est: mazuru mbezi
FARU ANIMAL FEEDS
Tunatengeneza na kusambaza vyakula bora vya kuku wa kienyeji na broila
Est: 2020
Est: FARU ANIMAL FEEDS
G smile collection
We are selling iphones
Phones accessories
(Covers, earphones,protectors and chargers)
Est: 2019
Est: Mbezi mwisho