Fundi madish
Sadamu installation
Wauzaji na wafungaji wa madish aina yote kwa vifaa maarumu kwa ufungaji
Pia tunarekebisha madish aina yote yanayosumbua kwa mvua au upepo kama vile
AZAM TV
DSTV
STARTIMES
ZUKU
CANAL SPORT
CONTINNETAL n.k
Call:0656190878
Est: 2019
Est: Manzese bakharessa
Duka la nguo na viatu
Duka langu linaitwa starboy fashion lipo maeneo ya manzese darahani jijini far es salaam
Est: 2020
Est: Manzese
Ojanto
Ojanto_Ocl tuna tengeneza na kusambaza viungo vya chakula kama, Pilau masala,Tea masala,Tangawizi,Iliki, Mdalasini na Pilipilimanga.
Pia tunatoa huduma za usafi wa mazingira kama vile Nyumbampya,Maofisini,Godauni, Mashuleni na ungarishaj wa sink za choo
Est: 2017
Est: Mwanjelwa market Mbeya City
fa stara collection
Tunauza bidhaa za kike viatu, mitandio, Abaya na handbag
Est: 2019
Est: Shekilango- Dar es salaam
Groly shop
Karibu ujapitie bidhaa kama vile Tv , aina zote ,subwoofer aina zote dressing table Rice cooker mafeni ,etc
Est: 2020
Est: manzese darajani
CHUSY HOME MINDING
HAPA NI UBORA TU.Hebu jitahidi upate hata ushauri ili ununue kitu Cha kudumu Nina uzoefu was zaidi ya miaka 13 Nina uhakika ukinitafta nitazngatia UBORA nawewe utafurahia bidhaa zangu na mungu akujalie kipato uje tena,Ahsanten.
Est: 2007
Est: Manzese darajani karibu na st,monica hospital
gee collection2020
tunadili na mitupio, vikoi og, scarf, na mitandio ya kila aina, kwa jumla na rejareja. karibuni sana
Est: 2020
Est: Magomeni Kagera
Ask incubators tz
-Watengenezaji na wauzaji mashine kutotolesha vifaranga
-Huduma ya service kwa incubators mbovu
-Watengenezaji wa cages Za kulelea vifaranga
-Wauzaji vifaranga vya kroiler
Est: 2016
Est: