Matangazo mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo na wakati Dar
You need to login to be able to post your things about your business


HOME APPLIANCES ELECTRONICS Est: 2020 - 5/30/2020 11:13:47 PM
JIPATIE FLAT TV ZA KISASA KABISA ZENYE UBORA WA HALI YA JUU,PIA TUNAUZA SABUFFER MBALIMBALI,FRIJI,HOME THEATER,WATER DINSPENSER,PASS,BLENDER,WASHING MACHINE,MEZA ZA TV,,FENI,MICROWAVE,MAJIKO YA UMEME,NA GAS,,,TUPO KARIAKOO MTAA WA UHURU MKABALA NA JENGO LA CHINA PLAZA AU UNAWEZA KUTUFUATILIA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,,FACEBOOK ANDIKA VENANCE PRINCE,,INSTAGRAM PRINCEVENANCE,WHATSSAP 0626-557215....UNATUPATA MUBASHARA KABISA....KARIBUNI SANA

Emhy entertainment Est: 2020 - 5/30/2020 11:01:43 PM
Je watamani uwe na muonekano mzuri kwenye event yoyote ile?karibu ufanye booking yako kwabei nafuu kabisaa>>0717523841

Emhy entertainment Est: 2020 - 5/30/2020 10:58:58 PM
Karibu ufanye booking yako kwabei nafuu kabisaa>>0717523841

Emhy entertainment Est: 2020 - 5/30/2020 10:40:45 PM
fanya booking yako mapema na mc emhy kwa ubora wa sherehe yako >>>>>>>>>0717523841 >>>>>>>>>>048050707 WhatsApp:0718995669

Plugstore._ Est: 2020 - 5/30/2020 9:06:52 PM
Ndala Flani Hivi Za Kishua Zaidi Kwa Bei Nafuu Kabisa Zipo Aina Tofauti Tofauti Bei ni 18000 Tu Wasiliana Nasi Kupitia Namba Hii 0620827380 au 0685679932

Plugstore._ Est: 2020 - 5/30/2020 9:01:56 PM
OFA OFA!!!! Cadet Mpya Na Original Kabisa Zimefika Size Zote Zipo Weka Order Yako Sasa Tuweze Kukuletea Hadi Hapo Ulipo Jumla 23000 Reja Reja 25000 Piga Simu 0620827380 au 0685679932 Karibuni Sana

BlackCultureFurnitures Est: 1996 - 5/30/2020 8:21:23 PM
Decorate your home with different and unique culture Chairs, its made Best and unique materials, set is plus one doubles, two single and its table. its available in different colors.press your order. call/watsap

MM Products Est: 2019 - 5/30/2020 8:14:31 PM
Unga mzuri wa Muhogo Upo Mweupe msafi na hauna mchanga kabisa bei ya kilo moja 2,500/- tupo Ubungo River side huduma ya kuletewa ipo kwa gharama nafuu simu 0788288589

MM Products Est: 2019 - 5/30/2020 8:12:20 PM
Unga Mzuri wa Lishe Upo bei ya kilo moja tsh 4,000/- tunapatikana Ubungl River Side call 0788288589 tunafanya delivery kwa bei nafuu

MM Products Est: 2019 - 5/30/2020 8:10:44 PM
Unga Mzuri wa Mchele upo Bei tsh 3500/- kwa kilo moja Mzuri kwa Mkate, Vitumbua, Uji n.k Tupo Ubungo River Side simu 0788288589 huduma ya kuletewa ipo unachangia nauli kuanzia tsh 2000/- inategemea umbali

MM Products Est: 2019 - 5/30/2020 8:08:06 PM
Karibu ujipatie Unga safi wa Ugali (super dona) wenye mchanganyiko wa Mahindi Meupe, Mtama na Ngano, Nafaka zimeoshwa, Kuchambuliwa na kukauka vizuri. Ni unga mzuri sana kwa Uji na Ugali wa Familia. Unapatikana kwa Ujazo wa Kilo 1-5. Huduma ya Delivery ipo kwa Gharama ya Mteja.

bidhaazetuleo Est: 2020 - 5/30/2020 12:34:50 PM
TUNAUZA MAGODORO. 5*6 inch 6 laki 145,000 inch 8 laki 190,000 inch 10 laki 250,000 NA 6 *6 inch 6 laki 180,000 inch 8 laki 220,000 inch 10 laki 340,000 inch 12 laki 450,000 KAMA UPO DAR ES SALAAM USAFIRI NI BURE UNALETEWA HADI NYUMBANI KISHA UNALIPIA 0688423349

ellie_accessories Est: - 5/30/2020 9:07:49 AM
Viatu vipo jumla 7000/= rejareja 8000/= Mawasiliano 0755234778

Plugstore._ Est: 2020 - 5/30/2020 9:01:30 AM
Karibuni sana plugstore._ Tshirt Mpya zimeingia jumla 15000 reja reja 18000 tupigie simu 0620827380 Au njoo Whatsapp au tembelea ukurasa wetu wa Instagram @plugstore._

Plugstore._ Est: 2020 - 5/30/2020 8:49:29 AM
Track za jeshi bado zipo jumla 20000 reja reja 25000 tupigie kwa namba 0620827380

ellie_accessories Est: - 5/30/2020 8:44:40 AM
Bado zipo bei 3000/= tu rejareja jumla 2000/= Mawasiliano 0755234778

ellie_accessories Est: - 5/30/2020 8:40:58 AM
Big hoops earrings available kwa shs 3000/= rejareja jumla 2000/= hazipauki Tupigie 0755234778. Karibuni sana.

Furniture za chuma Est: 2011 - 5/30/2020 8:16:26 AM
karibu sana keko funicture, ujipatie funicture za chuma bei maelewano v/ 0784505158

Furniture za chuma Est: 2011 - 5/30/2020 8:16:04 AM
karibu sana keko funicture, ujipatie funicture za chuma bei maelewano v/ 0784505158

F R SIGN Est: 2013 - 5/30/2020 7:17:19 AM
karibuni sana F R SIGN CREATIVE 0620449421

F R SIGN Est: 2013 - 5/30/2020 7:15:24 AM
flax baner kwa bei rahisi karibuni sana disign and printing.

F R SIGN Est: 2013 - 5/30/2020 7:10:09 AM
3D LETRES KARIBUNI SANA F R SIGN . KWA MABANGO YA AINA ZOTE.0620449421

Mjasiriamali Est: 2020 - 5/30/2020 7:06:08 AM
Tunafanya delivery, na kwa mkoani tunatuma 0692868939

Mjasiriamali Est: 2020 - 5/30/2020 7:04:52 AM
karibuni saa classic kabisa kwa bei poa

totoo_point_tz Est: 2019 - 5/29/2020 11:00:35 PM
35000/= pata nguo za watoto kwa jumla na reja reja. tunapatikana magomeni kagera

Dreads locks saloon Est: 2020 - 5/29/2020 10:21:41 PM
Naendelea kuwakumbusha kuwa huna haja ya kuangaika njoo kwetu upate huduma nzuri.... Sehemu ni ileile..Mbagala kijichi.... Piga simu 0655 033335 #nahloh #afrilocs #jahlocs #sabrina dread #locs for women#afrokinky style....

Alliance in motion global Est: 2018 - 5/29/2020 9:37:29 PM
Pata Bidhaa ya tiba bora kutoka alliance in motion.

Furniture za chuma Est: 2011 - 5/29/2020 8:45:08 PM
agiza kikufikie ulipo being tsh 350000. karibu keko funicture, 0784505158

Furniture za chuma Est: 2011 - 5/29/2020 8:42:44 PM
stendi ya kuwekea maua bei yake,tsh 190000, inakufkia ulipo. karibu keko funicture v/ 0784505158

Furniture za chuma Est: 2011 - 5/29/2020 8:37:39 PM
geti la gari lakini ukiitaji kuongeza maua zaidi inawezekana na unaweza utalifanya la kuslaidi au kufunguka mara mbili bei tsh 1900000, usafiri na kurifunga garama yangu. karibu keko funicture, v/ 0784505158

VINGAMUZI Est: 1984 - 5/29/2020 8:35:40 PM
DSTV Jiunge na Dstv leo ufaidi vipindi bomba na vya kipekee katika mwonekano wa HD. ✓full set sh.99000 ✓ufundi sh.20000 ✓usafiri buree ✓kifurushi bure mwezi mmoja ✓mawasiliano☎️0686-155250. ☎️0678-933820 HABAR Huu ndio muda wako wa kuvunja ukimya kwa kuhakikisha unamiliki toleo jipya la kingamuz cha dish cha Dstv kwa bei poa ya sh 99000 tuu kwa kupiga ☎️068615525. ☎️0678933820 na kuletewa mpaka kwako popote Dar es salaam pamoja na kufaidi ofa kabambe ya kuangalia kifurushi cha family mwezi mzima bure kabisa bila kulipia chochote kwa zaid ya chanel 80. ✓tamthilia zisizoisha utam ✓movie kali zitazokufanya uongeze ujirani na TV yako ✓makala zenye kuvunja mbavu na kufunza ✓michezo yenye kusisimua muda wote ✓chanel za watoto zenye kufunza na kuburudisha ✓muziki wenye kukonga nyoyo zako ✓chanel mashuhuli za habari kutoka ulimwenguni KWA MAELEZO ZAID TUPIGIE ☎️0686155250. ☎️0678933820

Furniture za chuma Est: 2011 - 5/29/2020 8:32:57 PM
geti kubwa la gari bei 2200000, usafiri, kulifunga kazi yangu, karibu keko funicture v/ 0784505158

Furniture za chuma Est: 2011 - 5/29/2020 8:30:39 PM
dirisha ambalo ni simpo San na nzuri ukitumia nondo ya squerbar inafaa pia dizain hii kuwek ata katka mrang being ni maelewano. karibu keko funicture, v/ 0784505158.

CHAMPIONRISE SWIMMING CLUB Est: 2019 - 5/29/2020 3:54:06 PM
learn swimming for a short time contact us 0714207404

haggy_outfiz_store Est: 2020 - 5/29/2020 11:34:48 AM
online : dar tunaleta popote ulipo mkoani tunatuma (Instagram haggy_outfitz_store kalibu follow me Instagram or WhatsApp call / sms 0783143489

ELECTRO_PLUG LIMITED Est: 2015 - 5/29/2020 5:33:15 AM
Beard GROWTH/HAIR ACTIVATION ni mafuta bora kabisa kwa ajili ya ndevu kuzipa muonekano mzuri na kufanya mtu mwenye asili ya ndevu kidogo au ambae hana inasaidia kuziongeza na kuzileta ndevu na pia kama mtu unashida ya nywele kukatika au kutoota kichwani au kokote pale mwili basi mafuta hata yatakusaidia katika hiyo shida uliokua nayo. Call 0764671038 or 0676288683 Karibuni sana...#BeardGang4Life. -Haya mafuta kazi yake ni kuactivate hair GROWTH katika ngozi especially kwenye ndevu. -Yanasaidia ndevu kuota nyingi na kuwa zenye afya bora na nyeusi pia kama mtu hana asili ya ndevu au zinaota kwa uchache sana yanasaidia kuzifanya ziote vizuri kabisa. -Yanaujazo wa 30mls -Matumizi yake unatumia kila baada ya kuoga asubuhi na jioni -Complete changes unaziona baada ya 1mnth n 2weeks unaona mabadiliko. -Mafuta haya unaweza yatumia katika sehemu yoyote katika mwili ambayo unahitaji iote nywele kwa mfano kichwani kwenye nyusi n.k na pia yanasaidia kufanya nywele zisikatike kichwani na kuzifanya ziote vizuri na kuwa imara.

F R SIGN Est: 2013 - 5/29/2020 5:25:08 AM
karibuni sana F R SIGN 0620449421

F R SIGN Est: 2013 - 5/29/2020 5:20:45 AM
KARIBUNI SANA . 0620449421

F R SIGN Est: 2013 - 5/29/2020 5:19:10 AM
F R SIGN . BUSNES CARD KWA BEI RAHISI SANA.0620 44 94 21

agripina_decor Est: 2020 - 5/29/2020 4:57:41 AM
0677371469 @agripina_decor