Matangazo mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo na wakati Dar
You need to login to be able to post your things about your business


Mom Francesco Delights Est: 2021 - 1/13/2021 3:46:49 AM
Huduma zetu, kwa wateja wetu karibuni sana 0754 474237 tupigie

Mom Francesco Delights Est: 2021 - 1/13/2021 2:58:11 AM
For yummy cakes call us 0754474237

Sweet Little Darlings - SLD Est: 2019 - 1/13/2021 2:55:33 AM
Baby boy: shirt & Shorts material nzuri, available, Quality nzuri, Umri: 3-7 years Tsh 45,000/= Tunafanya delivery tupigie 0754474237. #watoto, #nguozawatoto, #Darnguozawatoto #babyboy #babygirl #nguonzurizawatoto Karibuni sana

Sweet Little Darlings - SLD Est: 2019 - 1/13/2021 2:53:44 AM
Baby girl: dress Quality nzuri, Umri: 9month to 2years Tsh 25,000/= Tunafanya delivery tupigie 0754474237 #watoto, #nguozawatoto, #Darnguozawatoto #babyboy #babygirl #nguonzurizawatoto #maternity #mamawajawazitonguo Karibuni sana

Sweet Little Darlings - SLD Est: 2019 - 1/13/2021 2:51:12 AM
Baby shawl nzuri sana, yenye mdoli kwa watoto jinsia zote 33,000/= tunafanya delivery tupigie 0754474237

Mom Francesco Delights Est: 2021 - 1/13/2021 2:33:56 AM
For Tasty cakes call us 0754474237

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 1/12/2021 8:38:55 PM
TUNAPAKA RANGI NYUMBA NJE NA NDANI NA KUFANYA NYUMBA YKO KUWA NA USAFI NA MUONEKANO WASILIANA NASI 0716771053/0686785485

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 1/12/2021 8:37:19 PM
wasiliana nasi tuku badilishie muonekano wa JIKONI mwako Kwa kutengenezewa kitchen cabinet ya kisasa. 0716771053/0686785485.

MERCYONE ELECTRICS WORKS LTD Est: 2016 - 1/12/2021 9:57:49 AM
Tunafanya services za A/C kwa gharama nafuu sana karibu tukuhudumie, Mteja kwetu ni mfalme

MERCYONE ELECTRICS WORKS LTD Est: 2016 - 1/12/2021 9:54:39 AM
Tunafanya Kazi zenye ubora kwa gharama nafuu karibu tukuhudumie

MERCYONE ELECTRICS WORKS LTD Est: 2016 - 1/12/2021 9:51:15 AM
Tunatoa ushauri njinsi ya kupangili mifumo Bora ya umeme wa majumbani na kukushauli kutumia vifaa Bora vya umeme kwenye jengo lako au nyumba, Wasiliana nasi kwa namba 0652 277 761 Mteja kwetu ni mfalme

MERCYONE ELECTRICS WORKS LTD Est: 2016 - 1/12/2021 9:43:52 AM
Tunafanya Kazi popote ndani na nje ya TZ , Kazi zetu nizauwakika mteja kwetu ni mfalme wiring system domestic & industry A/C instillation & services cctv camera Instillation & services security fance Instillation & services Generator instillation & services Electrical diagram design Contractor

MERCYONE ELECTRICS WORKS LTD Est: 2016 - 1/12/2021 9:39:13 AM
kwa mifumo Bora ya umeme majumbani na viwandani karibu sana MERCYONE ELECTRICS WORKS LTD kwa mawasiliano piga namba 0652 277 761 mteja kwetu ni mfalme karibu tukuhudumie

MERCYONE ELECTRICS WORKS LTD Est: 2016 - 1/12/2021 9:35:42 AM
motor geti full instillation kea gharama ya Tsh1,500,000/=tunafanya kazi zenye ubora kwa gharama nafuu karibu tukuhudumie kwa mawasiliano piga namba 0652 277 761 , mteja kwetu ni mfalme, welcome MERCYONE ELECTRICS WORKS LTD

ferniture Est: 2017 - 1/12/2021 1:54:30 AM
nicheki kwa namba zangu kwa viti,sofa za kisasa kama izi 0719074027

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 1/11/2021 10:56:32 PM
OTTOMAN BENCH NZURI UTAIPATA KWETU. WASILIANA NASI KWA MAHITAJI YOTE YA FURNITURE

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 1/11/2021 10:54:51 PM
Tunapaka rangi Kwa ustadi na Kufanya decorations nje na ndani ya NYUMBA yako. wasiliana nasi 0716771053/0686785485

fundi urembo Est: 2010 - 1/11/2021 9:14:23 AM
pata kilicho bora zaidi kuliko vyote wasiliana nasi kwa namba za simu 0746129514

fundi urembo Est: 2010 - 1/11/2021 9:13:23 AM
karibu kwa kazi nzuri kama izi wasiliana nasi kwa namba za simu 0746129514

Mom Francesco Delights Est: 2021 - 1/10/2021 9:53:26 PM
For tasty cakes weka oda yako 07544742237 #momfrancescocakes

fredi Furniture Est: 2020 - 1/10/2021 8:26:08 PM
tunatengeneza meza ya kupikia kwa 130 tupo mbezi beach kwa namba 0718048875

fredi Furniture Est: 2020 - 1/10/2021 8:25:42 PM
tunatengeneza vitanda vizur kwa 200000 vizur sana kwa 0718048875

fundi urembo Est: 2010 - 1/10/2021 8:09:56 AM
kazi nzuri na ubunifu thabiti wasiliana nasi kwa namba za simu 0746129514

fundi urembo Est: 2010 - 1/10/2021 8:08:00 AM
kwa ubunifu na muonekano karibu tukuhudumie

fundi urembo Est: 2010 - 1/10/2021 8:06:44 AM
karibu mteja

fredi Furniture Est: 2020 - 1/10/2021 7:44:00 AM
tunatengeneza vitanda vizur kwa bei pow sana laki mbili utapata kitanda 0718048875

HATUNA BEI HOME STYLISH Est: 2019 - 1/10/2021 7:08:32 AM
HATUJAWAI KUBAHATISHA KARIBU SANA KWA VITANDA VYA KISASA VYA HAINA VYOTE 07835404I3

fundi urembo Est: 2010 - 1/10/2021 6:14:30 AM
ubora wa kazi upo kwetu

fundi urembo Est: 2010 - 1/10/2021 6:13:46 AM
apa kazi tu

fundi urembo Est: 2010 - 1/10/2021 6:12:47 AM
karibu mteja

fundi urembo Est: 2010 - 1/10/2021 6:08:18 AM
karibu kwa urembo wa ndani kama huo

fundi urembo Est: 2010 - 1/10/2021 6:06:22 AM
kwa mahitaji ya michoro kama iyo karibu mangoto tapestry

fundi urembo Est: 2010 - 1/10/2021 5:58:30 AM
karibu tu kuhudumie kwa bei nafuu tu mteja kwetu ni mfalme wa wasiliana nasi kwa namba za simu 0746129514

fundi urembo Est: 2010 - 1/10/2021 5:53:46 AM
ubunifu wa michoro na kazi nzuri unapatikana kwetu pekee mangoto tapestry ndio chaguo sahihi wasiliana nasi kwa namba za simu 0746129514

fundi urembo Est: 2010 - 1/10/2021 5:51:16 AM
ubunifu ndio Jadi yetu karibu mangoto tapestry kwa kazi nzuri wasiliana nasi kwa namba za simu 0746129514

fundi urembo Est: 2010 - 1/10/2021 5:48:27 AM
karibu upendezeshe nyumba yako na sisi mangoto tapestry kwa ufanisi mkubwa wa kazi na uzoefu wa hali ya juu wasiliana nasi kwa namba za simu 0746129514

Fundi majiko ya gesi Est: 2019 - 1/10/2021 3:02:03 AM
Linauzwa Tsh 320,000 Plate nne za gesi, Oven ya Gesi pia Moto mzuri

Dstv sell Est: 2021 - 1/10/2021 12:52:34 AM
Offa offa Jipatie dstv kwa sh 79000 Upatiwe ofaa ya mwez mzm bure Gharama za kiufund ni sh 20000 Usafir ni bure popte pale Ulipo huduma kwanz ndipo ulipe pg 0653399667

MO-SEJ ENTERPRISE COMPANY Est: 2020 - 1/9/2021 11:38:07 PM

Chef Nagib Cakes Est: 2020 - 1/9/2021 10:53:09 PM
KARIBUNI KWA CHEF NAGIB CAKES KARIBU UJIPATIE CAKE YA KIATU PIGA SIMU NO 0675325965 Au TUFOLLOW @chef_nagib_cakes_ Welcome All