Matangazo mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo na wakati Dar
You need to login to be able to post your things about your business


Netplus Technologies Tanzania Est: 2020 - 12/6/2020 10:13:56 PM
Tunatengeneza website na blogu za kisasa kabisa kwaajili ya biashara yako. Pia tunataoa huduma ya web hosting na mobile app development. Wasiliana nasi kupitia namba 0784945230 kwa maelezo zaidi.

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/6/2020 9:21:43 PM
ENJOY MSIMU HUU WA SIKUKUUU NA MAKOCHI KUTOKA KWETU. PIGA SIMU WEKA ORDER UNALIPATA FAST NA UENJOY SIKUKUU

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/6/2020 9:20:49 PM
BADILI MAKOCHI YAKUPE UKASIRI YA KUMKARIBISHA KWAKO NYUMBANI.. SOFA SET NZURI KWA BEI SAFI KABISA MI SIMU NA ORDER NDANI YA MDA MFUPI UNAFURAHI 0716771052/0686785485

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/6/2020 9:19:27 PM
TUNAPAKA RANGI YA NJE NA NDANI YA JENGO KAMA NYUMBA AU OFISI WASILIANA NASI 0716771053/0686785485 ENJOY SIKUKUU OFFER

HQ Graphix. Est: 2020 - 12/6/2020 3:14:12 PM
Tengeneza Brand yako sasa Kwa bei nafuu kabisa.

MASHUKA NA VITENGE Est: 2020 - 12/6/2020 10:41:45 AM
Pata VITENGE vizuri kwa bei NAFUU kabisa. @25000/= Free delivery

U-TECH TZ Est: 2020 - 12/6/2020 1:50:37 AM
U-TECH TZ ni wataalamu wa kufunga CCTV Cameras kwa ustadi na taaluma ya aina yake. Camera zina ubora wa hali ya juu.Full HD Good day &Night visionWaterproofindoor &outdoor support Mobile remote view - hii itakusaidia kuona eneo ambalo umefunga cctv camera ukiwa sehemu yoyote duniani kwa kutumia simu yako ya mkononi. Tunafunga camera kwenye mashule ofisi, godauni, duka, vituo vya kujazia mafuta, super market majumbani, ATM na sehemu nyingine nyingi. Kuwa na utulivu wa akili juu ya mali na eneo lako pindi utakapo kuwa karibu au mbali yote hayo kiganjani kwako au ofisini.. Karibu Ofisi za U TECH TZ zilizopo Kariakoo,msimbaziDar es salaam , Msimu huu wa sikukuu tunaoffa wateja wetu wote wa mikoani kwa ushauri na makadirio ya gharama bure kabisa. Phone +255782343329 Instagram utechtz

usafi na afya bora Est: 2020 - 12/5/2020 10:02:53 PM
G1laundry ni sabuni ya unga ambayo haina kemikali sumu na ni sabuni ambayo inajifua yenyewe ni unaloweka nguo kwa masaa manne baada ya hapo unaenda tuu kuanika

ELECTRICAL SERVICES Est: 2020 - 12/5/2020 8:50:39 PM
Kwa mahitaji ya vifaa bora vya umeme kama distribution board na panel zinapatikana kwa ukubwa tofauti,pia tunamain switch ndongo za single phase, brand zetu ni za SIEMENS,ABB,,kwa mawasiliano zaidi 0687431495

ferniture Est: 2017 - 12/5/2020 1:17:48 AM
kwa mahitaji ya sofa na viti vya kisasa waweza wasiliana nami popote tz 0719074027

Nassor Abdallah Est: 2020 - 12/5/2020 12:23:50 AM
bei zetu ninafuu sana used kutok dubai

Nassor Abdallah Est: 2020 - 12/5/2020 12:21:02 AM
kwa mahitaj ya tyre used zenye ubora wa silian 0659150243

sangiruge Est: 2016 - 12/4/2020 9:06:04 AM
mambo hayo dining table hiyo mninga uko poa sana by another level furniture tupo vizuri sana kwa kutegeneza furniture za manyumbani na maoficen kwa bei nafuu san0718157807

sangiruge Est: 2016 - 12/4/2020 9:00:38 AM
vitu vya ukweli sana hivyo karibuni sna upate kwa bei nafuu sana na usafiri bure watu wa dar dining table hiyo by another level furniture

LOSE TO WIN Est: 2020 - 12/4/2020 7:10:32 AM
MRT COMPLEX NA FAIDA ZAKE KIAFYA: 1. Kupunguza MAFUTA mwilini 2. Kila pakiti ina mlo mbadala wa kalori 76tuu 3., inasafisha ini na figo 4. ni nzuri kwa wenye kisukari 5. ina kiwango kikubwa cha protin, vitamin na madini 6. inatunza kiwango cha wakati unaoteza uzito 7.Ina kinga pia inazuia kupata saratani 8.Inatunza nguvu ya mwili wakati unapunguza uzito 9.Inasaidia mwili kufyonza virutubisho,ni nzuri kwa tatizo la figo 10.Ina viwango vya juu vya protini,vitamini na madini 11.Inawafaa pia kwa wenye tatizo la kisukari 12.INA CHOMA NA KUVUNJAVUNJA MAFUTA YASIYOHITAJIKA MWILINI KILA PAKITI NI MLO KAMILI WENYE KAROLI 76, inasafisha INI na FIGO. Kuipata huduma hii muhimu wasiliana nasi kupitia: Gharama yake ni tsh@180,000/=tu Whatsapp:-0746 808 808 #PunguzaUzitoWako #AnzaProgramYaP4

LOSE TO WIN Est: 2020 - 12/4/2020 7:02:23 AM
JE, UNAHITAJI KUPUNGUA UZITO AU KITAMBI CHAKO? Nimekuandalia PROGRAM maalumu ya siku 20-24 ambayo pia inapunguzo kubwa la bei (15,000). Hii PROGRAM inauwezo wa kupunguza kilo 7 hadi 10 na gharama yake ni tsh 270,000/=tu. Hii OFA ni ya siku 4 tu, na inaanza leo hadi tarehe 4 saa saba mchana. Hivyo kama ni muathirika na muhitaji wa kupunguza uzito, iwahi hii OFA. Mawaliano: Piga/Whatspp>>0746 808 808

fredi Furniture Est: 2020 - 12/3/2020 8:47:29 PM
vitanda vya chuma bei pow tupo mbezi beach kutupata 0673039863

fredi Furniture Est: 2020 - 12/3/2020 8:46:31 PM
tunatengeneza vitanda vizur kutupata 0673039863 tupo mbezi beach

PUNGUZA UZITO ONDOA KITAMBI Est: 2020 - 12/3/2020 7:48:17 PM
Offer offer! Ni kwa shs 24000/= tu..unajipatia Portable blender chap. Tunafanya deliver free kabisa kwa Dar es salaam utaletewa hadi ulipo bila gharama yoyote. Portable blender ni blender ndogo unayoweza kuitumia kwa kuichaji tu.. blender hii ni nzuri inaasaga juice , smoothie au vyakula vya watoto au wazee, matumizi ya jikoni pia ni nzuri sana..tupigie au ujumbe mfupi wa WhatsApp kwa namba #=

Mr one fashion Est: 2020 - 12/3/2020 6:01:24 PM
Available

Mr one fashion Est: 2020 - 12/3/2020 6:01:02 PM
Welcome

Mr one fashion Est: 2020 - 12/3/2020 6:00:43 PM
Welcome price 55000 original

Mr one fashion Est: 2020 - 12/3/2020 6:00:05 PM
Welcome

Mr one fashion Est: 2020 - 12/3/2020 5:59:37 PM
Welcome

Mr one fashion Est: 2020 - 12/3/2020 5:58:41 PM
Pendeza nasi

Mr one fashion Est: 2020 - 12/3/2020 5:57:56 PM
Welcome

Mr one fashion Est: 2020 - 12/3/2020 5:57:23 PM
Welcome price 35000

Mr one fashion Est: 2020 - 12/3/2020 5:56:40 PM
Welcome

Mr one fashion Est: 2020 - 12/3/2020 5:56:06 PM
Welcome popote ulipo unapoke nguo zetu ni original

Modern_storetz Est: 2015 - 12/3/2020 8:48:09 AM
Modern_storetz Ni wauzaji wa Hadbags Tunauza jumla na Rejareja Bei Ni kwanzia Elf 20000 Tu Sehemu ya kupata Mkoba mzur Ni moja2 Dar Delivery ipo unaletewa had mlangoni Mnakaribishwa wote

Nassor Abdallah Est: 2020 - 12/3/2020 7:34:15 AM
tyre used zenye ubora tunatoa dubai bei zetu ninafuu sana nawaranti tunatoa aina yoyote unayo hitaj zipo no 0659 150243 bei zetu 65000 kwa pcs 1

Nassor Abdallah Est: 2020 - 12/3/2020 7:32:22 AM
tyre used zenye ubora tunatoa dubai bei zetu ninafuu sana nawaranti tunatoa aina yoyote unayo hitaj zipo

Kidemi_arrays Est: 2020 - 12/3/2020 6:00:14 AM
Tunafanya sale kwa December tuu..wahi Sasa kujipatia Nguo nzuri

saba ardhi Est: 2018 - 12/3/2020 4:34:33 AM
MSIMU PENDWA WA MWISHO WA MWAKA . .OFFER YA XMASS KWA MRADI WETU WA BAGAMOYO MJINI ULIKUWA TSH 20,000/= KWA SQM SASA UNAPATA KWA TSH 18,000/= . .NA SIO HIVYO TU PIA KIANZIO NI ASILIMIA 25 TUU . . .INAYOBAKI UTALIPA KIDOGO KIDOGO HADI 2022 . .UPO MITA 500 KUTOKA BAGAMOYO MJINI .MITA 150 KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI .MITA 900 KUTOKEA BEACH . .HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO #maji #umeme #shule #hospital . .PIGA NAMBA 0759 882 087 SASA .

Bablon Amini Est: 2010 - 12/3/2020 3:05:02 AM
karibuni Sana ujipatie furniture nzuri na za kisasa kabisa kwa bei nafuu 0754644111

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/2/2020 9:49:49 PM
USIINGIE MWAKA MPYA NA MUONEKANO WA ZAMANI WA NYUMBA YAKO BASI WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0716771053/0686786485 TUKUPAKIE RANGI NZURI NA MAFUNDI WETU WENYE UZOEFU.

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/2/2020 9:47:52 PM
TV show case nzuri ya kisasa wasiliana nasi weka order enjoy sikukuuu offer fasta tunakuletea. 0716771053/0686785485

Sia Good Events Est: 2018 - 12/2/2020 6:43:45 PM
kwa huduma za mapambo karibuni popote ulipo tunakufikia kulingana na budget yako 0766557638 & 0712360776

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/1/2020 10:53:00 PM
PANGA NGUO ZAKO KWA UZURI UPENDEZESHE CHUMBA CHAKO, PIGA SIMU WEKA ORDER JIPATIE KABATI KABLA MWAKA HUJAPINDUKA..0716771053/0686785485

Aiche Creations ltd Est: 2019 - 12/1/2020 10:50:10 PM
KATIKA MSIMU HUU WA SIKUKUU BADILI MUONEKANO WA OFISI NA NYUMBA YAKO NASI TUPIGIE 0716771053/0686785485