#HaibaguiHaichagui
|
Mama mjamzito unatakiwa uanze kuandaa mwili wako kwa ajili ya kunyonyesha, @eiman_food_point tumekuletea unga wa mbegu za maboga wenye mchanganyiko wa pilipili mtama. tumia huu unga kabla na baada ya kujifungua kuupa mwili afya na virutubisho vya kutosha , matokeo yake! utapata kiwango kikubwa cha maziwa (milk supply) na maziwa yanakua mazito, mtoto anakunywa anashiba. kunyonyesha miezi sita bila kumpa mtoto chakula inawezekana. #ComeToUsAndDoubleYourAppetite #HaibaguiHaichagui
|