Dar es Salaam • Business Profile
ESSENTIALS TZ MARKET
Biashara hii itajihusisha na uuzaji wa BIDHAA kutoka NCHINI UINGEREZA hukoo kwa malkia Elizabeth pia chocolates snacks bites milk electronic machines phones laptops Yani kiujumla Kila biashara nitafanya kupitia app hii
ESSENTIALS TZ NI KAMPUNI INAYO JIHUSISHA NA UUZAJI WA BIDHAA BORA KABISA KUTOKA NCHINI UINGEREZA BIDHAA HIZO NI KAMA CHOCOLATES MAZIWA VIPODOZI VITAFUNWA AINA VYOTE VIFAA NA SABUNI ZA CHOONE VINYWAJI VYOTE HIVI VYOTE VINATOKA UINGEREZA KARIBUNI TUNAPATIKANA POSTA MTAA WA ZANAKI KARIBU NA ROUND ABOUT YA DTV kwa maelezo ZAIDI PIGA simu au nitafute whatsapp
No Products Listed Yet
This business hasn't added anything to their catalog yet.
Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!
Andika Tathmini Yako
Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.