Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Nauza viwanja vipo vikindu magodan, vyenye ukubwa wa QR 540 kwa Bei ya shilingi million moja na laki tatu tu
Karibu ujipatie mziki & MC, mapambo, chakula, keki, video shooting, still picture, projectors, magari ya maharusi
Dealers: Fumigation Cleanliness Fire Fighting Equipments General Supplies &Stationaries.
Buy and sell
Tunatengeneza vifaa vya umeme aina zote tunauza ant-virus aina zote tuna supply vifaa vya umeme tunauza laptop aina zote. Karibuni sana for sale and repairs of your laptops phones and cameras
#CHIASEED ni zao lenye virutubisho vingi mwilini ikiwa pamoja na suluhisho la magonjwa sugu kama kisukari pressure uzito na tumbo vilivopita kiasi .zipo faida nyingi sana zitokanazo na #CHIASEED karibuni saana wateja wangu .#AfyaKwanza??
Vipodozi na viwanja
Tunauza Tiles gypsum board powder cornios vioo vya chooni shower Sink na Masinki ya Jikoni
We are dealing with Beauty cosmetics and personal care we are dealing with Hair Facial Nails Make up microblanding and Lashes
Tunauza nguo za wakubwa na watoto kwa bei poa kabisa karibu ujipatie suti za kijanaja katika msimu huu wa chrismas na mwaka mpya
Karibu tukushonee upendeze pia tunadesign nguo mbalimbali za rika zote na jinsia zote karibu upendeze kwa gharama nafuu
Tunatengeneza Chocolate cakes zenye ubora wa hali ya juu karibu tukuhudumie
Karibu Masonga bakery shop ujipatie aina nne (4) za mikate kama vile French & Butter bread milk & butter bread sweat milk bread na brown bread kwa bei nafuu pia tunafanya delivery bei ni kama bure
Tunahusika na masuala yote yahusuyo maji ndani ya nyumba yako
Tunauza simu mpya za iphone na samsung. Simu ni mpya na zina warranty ya mwaka mmoja dar kuletewa ni bure mkoani tunatuma huduma za matengenezo pia zinapatikana dukanii
N/A
Kwa mahitaji ya furnitures nzuri kwa bei nafuu kama makabati vitanda showcase meza viti etc.tu follows @ts_furnitures Au tupigie?0719-714298 na whatsapp. Pia tunapatikana keko near na Chuo cha veta Dar es Salaam na Mikoani tunatuma kwa bei nafuu. @ts_fu
Movies zetu ni HD hazisumbua kwenye deki yoyote pia tunaweka movies kwenye flash or external kwa shilingi 1000 tu.
Tax consultation 2. Accounts training 3. Preparation of final accounts and tax returns 4. Tax review 5.Business progress analysis
Tunauza asali mbichi ya nyuki wakubwa Kwa bei raisi Kwa @lt 1 tsh 12000 na lt 5 sh 60000 Tunapatikana Kwa no 0742223653 0746395141 0714786229 0655723087
Ni mafuta ya mnyonyo yanafanya kazi ya kukuza nywele kuondoa mba kufanya nywele zisikatike na kujaza nywele kwa fedha za kitanzania ni sh 5000 = tu na delivery ni 2000 =
Specializing in all baby products Quality is our motto all your childs skin and related matters guaranteed to be met @ affordable prices.
Tunasambaza bidhaa za afya ya uzazi mahususi kwa wanaume na wanawake. Tunalo suluhisho la matatizo yooote ya Uzazi
Tunauza mashamba nyumba na viwanja maeneo ya Mapinga na Vikawe bagamoyo
Welcome nauza perfumes Jumla na Rejareja 25mls Free delivery na mkoani tunatuma Whatsapp number -0689253701
Tunauza Unga wa Lishe kwaajili ya watoto vijana na wazee. Una Mahindi Ngano Mtama karanga na mbegu za maboga.
Tunauza vifaa vya magari kama vile seat cover cover za stearing tafanya service kumwaga oil na matengenezo madogo madogo
Kavs latest movies and series tunapatikana sinza mori opposite na Lachaaz Pub price of movie HD 720 1080 single movie 1@1 000 = Single series 1@2000 =. Free delivery 0717571347
Ni wasambazaji na mawakala wa vifaa vya ujenzi kama vile vigae mabati pvc pipe Rangi gipsum bord and plasta pia cement n.k
We selling goods in affordable prices and very good quality. We are selling access centrol 3 in 1 Biometric face recognition finger print CCTV camera and so on
Chuma tyres wauzaji wa tairi zenye ubora na uimara wa kipekee tutakuzia na kukufungia bure pia tunakuhakikishia huduma bora siku zote tairi zetu zina warrant ya mwaka mzma kumbuka tunauza tairi za gari aina zote. Karibuni wateja wetu
Tunarekebisha iPhone tuna uza iphone tunauza covers za simu pia tunauza Samsung
We are dealing with Apple accessories of all Apple phones together with their phones. In short we are an Apple store
We are a Private Insurance Agency based in Dar Es Salaam Tanzania. We provide for General Insurance like: Travel Motor Marine Fire Health Bond etc
Site foreman. I can control any construction works on time. Just believe me because i have enough expirience through by large project in tanzania such as mfugare fryover standerd gauge reilway ftom daressalaam to morogoro. I have certificate
We are selling organic natural products...
Tunauza saa Aina zoote hereni za kisasa viatu vya kike na kiume pochi za kike na kiume. Vitu vyote tunauza kwa jumla na rejareja
Vitafunwa vya chai