Dar es Salaam · Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Duka LA vinywaji Retail off. Tunapokea oda za maharus, birthday, Misiba na Send-off
1. Kichwa+ndevu = Tsh 5000/= 2. Magic full = Tsh 8000/= 3. Mask = Tsh 5000/= 4. Srub = Tsh 4000/= 5. Massage kichwa = Tsh 5000/= 6. Pedcure = Tsh 15000/= 7. Massage half = Tsh 30000/= 8. Pia tunaandaa maharusi
we are selling male and female underwears, tishirts , tlousers, dresses, and accessories for men and female, we do deliver in Dar es salaam and we deliver in all Regions @ Tanzania , , , pendeza na double_g_designing_fashion @double_g_designing_fashion
We deal with micro credit activities ie mikopo
Perfumes, deodorants,skin care product,lipsticks,shower gel na bidhaa nyingine nyingi unaweza kupata kwangu.
furniture
Beauty &Care
DRESSES SKIRT BOYFRIEND JEANS T-SHIRT POCHI
Dalali wa kuuza /kununua na kupangisha /kupanga Nyumba /vyumba na viwanja / mashamba na kz.Nipo Pugu ,Dar es salaam.
Karibun ujipatie chupi cotton Tsh 3000.Tabata bima karibu Sana
master of celemony
Ni virutubisho vinavyojenga mwili, dawa za kusafishia nyumba, virutubisho vya arudi kwa wakulima na virutubisho kwa ajili ya watoto.
Eat Well, Live Well. We deal with home delivery & hotel supplier.opening time 8am - 9pm. Phone number +255765957939.
kids clothes from 0-12years- we sell second hand(1st grade)from UK. and hand made baby carrier/bebeo
Tunafunga Alam system(GPS CAR TACK) inayosadia usalama wa vyombo vya Moto Kama pikipiki, bajaji, magari Aina zote,malori. Baadhi ya kazi za alrm system GPS CAR TRACK Kuona chombo kilipo kuzima na kuwasha chombo chako kwa kutumia simu yako.
?kwa nguo nzur na kali za mitumba grade A tembelea page yetu @brihannahmitumbacollections @brihannahmitumbacollections @iam_brihannah @iam_brihannah tembelea page zetu ujipatie nguo kali?na unaweza kutucol kwa no:0784371974
Mafundi na wauzaji wa vifaa vyote vya solar system
Habar, Tunauza mchele msafi hauna mawe walla uchafu kilo 5 13500 Weka oda yako sasa #0764512666
Kwa yeyote muhitaji wa kazi zenye ubora nafuu na uhakika zinazo husu Graphics Design usiache kutuchek shedy creative design tukuhudumie kwa kiwango cha kimataifa ..Karibu sana tunakupenda
Wauzaji wa perfume orginal jumla na rejareja katika ujazo mbalimbali 100mils = 45,000 50mils = 30,000 30mils = 25,000 15mils = 13,000
Dealer in Indian Ethnic Wear & Fashion Accessories . Designer in Indian semi stitched suits , sarees, bridal suits, Jootis , Mojris , Wedding purses , party / evening clutches & Immitation Jewellery on special order basis & stock
Gardener,decoration,landscaping,disigners, paving blocks and garden idea
VIRUTUBISHO MUHIMU VYA KUBORESHA KINGA YAKO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA .... Mwili ili uwe na kinga ya kutosha kupambana na Magonjwa ya mlipuko au kupambana na Maradhi nyemelezi , Tunahitajika kula vyakula ambavyo ndio chanzo cha kinga kwa ya Miili Yetu
sellind different ladies product at a reasonable cost
Used and brand new electronics, kwa bei nafuu na ubora, bidhaa zinasafirishwa kwa uaminifu .kubwa. kwa wateja wote watakao jitokeza kulingana na maelewano. karibuni.
Tunauza mazulia.doormat curtain rods mapazia wallpaper
jipate laptop kwa bei nafuu sana
Tunauza aina zote za simu kutoka Uk na south Africa simu ni Genuine na zenye warranty ya mwaka mmoja
Bidhaa bora za usafi wote wa nyumbani
For all your business and reporting solutions
Wauzaji na wasambazaji wa kuku halisi wa kienyeji kwa jumla na reja reja kwa biashara na watu binafsi
karibu ujipate vitu vya ndani yani home store tunauza TV, fridge ,meza mafreeza pia kapeti zipo zulia wallpaper za ukani pendeza nyumbna yako kwa muonekano mzur na Lizzy home store nichek dar tunafanaya delivery
Tuna deal na uuzaji wa accessories za aina zote kama saa brand zote,wallet,frem za miwani n.k Pia tunauza VYUNGU Vya joto kwa vifaranga.
Computer Sales and Repair
Tunatengeneza na kusambaza vyakula bora vya kuku wa kienyeji na broila
Tunatoa huduma ya kupunguza uzito, kitambi na nyama uzembe pia tunatibu maradhi yote.
1st GRADE MTUMBA - all sizes & sorts of qualified bags only ) HANDBAGS ? MINI BAGS / CLUTCHES SAFARI BAGS ? SCHOOL BAGS ? WAIST BAGS etc....
wauzaji na waagizaji wa bidhaa aina zote kutoka china
Switch technology deals with: 1. Website design 2. Graphics design 3. Phography & Videography 4. Documentary & video production
phones and technology accesories