Matangazo mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo na wakati Dar
You need to login to be able to post your things about your business
|
|
sabun ya asili inatoa mba,muwasho,chunusi jipatie kwa Bei ya 1500 tunakuletea ulipo 0769323266 tupigie
|
|
|
|
|
tunauza sabun za asili ambayo inatoa harara,muwasho na chunus,maulumu pia kwa wadada walioungua na cream inawasaindia Sana, tupigie tukuletee ulipo 1500 tu 0769323266
|
|
annex lotion Ni lotion ya asili kabisa ambayo haina chemicali yoyote ya kuchumbua ngoz yako,imetengenezwa kwa malighafi kama vile mawese,na Nazi.maaulumu kwa wenye ngoz ya mafuta na isiyo na mafuta,tupigie tukuletee ulipo namba 0769323266.lotion Ni 2000 tu 250mls.
|
|
Bizaa bora Hand sanitizer zipo jumla na reja reja Mask zipo Jumla na reja rejaa na vitenge Aina ya Javaa vipo Jumla na reja reja Kwa maeleze zahid piga simu namba 0694046038 karibun nyotee
|
|
annex sanitizer nzur inaua wadudu wa Corona na wengine kwa asilimia 99.9%tupigie tukuletee ulipo kwa Bei ya jumla na rejareja
|
|
INAUZWA CHANIKA MWISHO WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM KWA MILLION 55 SIMU +255625433899/+255684230399 ENEO SQM 500 WAHI SASA UJIPATIE HITAJI LA MOYO WAKO
|
|
|
INAUZWA CHANIKA MWISHO WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM KWA MILLION 38 PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0625433899/0684230399
|
|
KAMA WEWE NI MWANAMKE NA UNAPATA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI AU SIKU ZAKO ZINAPISHANA PISHANA HII BIDHAA ITAKUSAIDIA KUTATUA TATIZO LAKO. . Soma Faida ya hiki Kirutubisho. . ROYAL JELLY. Ni chakula kizuri anacholishwa malkia wa nyuki ili aweze kutaga mayai zaidi ya 3000 siku na kuishi maisha marefu zaidi ya miaka sita. . Kirutubisho hiki cha nyuki kina vitamin A,,C,,D,,&E na huifadhi vitamin B complex. Pia kina vitamin B5 vitamin hivi husaidia kumengenya protein, mafuta na uwanga na huongeza vichocheo (homones) sababu endapo vitamin hivi vikakosekana husababisha uchovu, kichwa kuuma, matatizo ya upumuaji, insuline kupungua, kukosa unsingizi, kichefu chefu na matatizo ya mfumobwa fahamu.. . Royal Jelly pia ina Amino acid 8 muhimu na madini kama (calcium,copper, iron, phosphorous, potassium, sillicon na sulpher). Madini haya huboresha utendaji mzuri wa kazi za mwili, kuongeza nguvu, kuondoa machovu ya mwili, kuuwa bakteria na virusi na husaidia uponyaji wa vidonda.. Lakini pia husaidia katika kuzalisha seli mpya(cell regeneration) na kuboresha muonekano mzuri wa ngozi. . Royal Jelly inasaidia sana katika kuzuia msongo wa mawazo na kuondoa maumivu makali wakativwa hedhi. FAIDA ZAKE. 1. Husaidia kuondoa msongo wa mawazo, uchovu, kichwa kuuma, matatizo ya upumuaji n.k . 2. Maumivu wakati wa hedhi na kuboresha mzunguko mzuri wa damu. . 3. Kurekebisha homones (kuweke uwiano wa homones °homones imbalance°) . 4. Husaidia kukuza nywele na kuzuia kukatika katika. . 5. Husaidia kuondoa Chunusi na kuboresha ngozi na kupunguza kasi ya uzee. . 6. Kuongeza nguvu. . 7. Kuongeza idadi ya mayai kwenye mfuko wa uzazi wa mwanamke. . Mawasiliano 0752551222 .
|
|
|
UNAHITAJI NYUMBA HII INAUZWA DAR ES SALAAM WILAYA YA ILALA CHANIKA PIGA SIMU +255625433899 KWA MILLION 22 WAHI SASA BADO IPO MJINI
|
|
|
|
|
NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM TANZANIA
|
|
|
|
|
|
UMEWAHI KUJIULIZA NI MUHIMU KIASI GANI KUIMARISHA KINGA YA MWILI WAKO KATIKA KIPINDI HIKI? . Moja ya vitu muhimu ni afya zetu ambazo hazina mbadala wake, katika kipindi hiki cha mlipuko wa ugonjwa wa corona ni vema tukajilinda wenyewe na tukawalinda wenzetu pia. . Katika kuhakikisha tunaimarisha afya zetu kinga ya miili yetu ni bora zaidi kuliko tiba ni bora tuchukue tahadhali leo katika kuimarisha kingaya mwili kwa kutumia natural supplements (ALOE VERA GEL). . JE UNAZIJUA FAIDA ZA KUTUMIA ALOE VERA GEL, KWA MWILI WAKO? . 1. Ina Amino acids Zaidi ya 18, ambapo 7 kati ya hizo ni muhimu sana katika ukuwaji wa chembe chembe za uhai katika mwili wa binadamu... . 2. Inasaidia mwili wa mwanadamu kupambana na matatizo mbalimbali ndani ya mwili na nje ya mwili. . 3. Inarekebisha Matatizo ya mmengenyo wa chakula... . 4. Inarekebisha Acid kuzidi tumboni ambayo mara nyingi hupelekea vidonda vya tumbo. . 5. Inasaidia Kurutubisha ngozi, kwa kuondoa seli zilizokufa na kutengeneza mpya na kuwa na muonekano mzuri . 6. Kuondoa vimbe mbali mbali ndani na nje ya mwili. . 7. Inasaidia Kuongeza kinga ya mwili na kuupa mwili nguvu za kutosha kuweza kupambana na magonjwa mbalimbali. . 8. Kusafisha sumu zinazotokana na vyakula, madawa, pombe, sigara, msongo wa mawazo (stress) n.k. ambazo zinaharibu kinga za mwili . 9. Inasaidia sana katika upatikanaji wa choo kwa wenye tatizo la kupata choo au wanaopata choo kigumu. . 10. Huimarisha mzunguko wa damu, mishipa ya damu na kuyeyusha damu na mafuta yaliyoganda . 11. Ni lishe tosha katika mwili wa mwanadamu... . Inasaidia kuondokana na maradhi mwilini...kwasababu vijidudu vibaya viletavyo maradhi hupendelea mazingira yenye ACID Tindikali..katika mwili...na Aloe vera yenyewe ina leta hali ya u- ALKALINITY mwilini na kusababisha vimelea viharibifu visiweze kustawi na kusabisha maradhi... . Lakini pia tumia ALOE HANDSOAP KUOSHA mikono na kuwaogeshea watoto wako katika kipindi hiki cha corona . Mawasiliano 0752551222 . Piga simu/tuma ujumbe wa kawaida au WhatsApp . 0752551222
|
|
|
|
|
|
|
|
UNAHITAJI VIWANJA VYA MAKAZI KWA MILLION 1,800,000 VIPO CHANIKA NAMANGA DAR ES SALAAM UKUBWA WA ENEO MITA 15 KWA 14 PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0625433899/0710751576
|
|
ingreving dor sign iwe loage au kwenye hoteli kubwa tunatengeneza no za milango
|
|
NYUMBA KALI YA KISASA INAUZWA DAR ES SALAAM WILAYA YA ILALA CHANIKA +255625433899 KWA MILLION 50 TU UKUBWA WA ENEO SQM 500 NYUMBA BADO IPO PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
|
|
INAUZWA CHANIKA MWISHO WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM TANZANIA <
|
|
NYUMBA INAUZWA DAR ES SALAAM WILAYA YA ILALA CHANIKA KWA MILLION 50 TU NYUMBA YA KISASA HUDUMA ZOTE ZIPO UKUBWA WA ENEO SQM 600 PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0625433899/0684230399
|
|
|
|
@kibokoyausafi wamekurahishia kufanya usafi MAJUMBANI,MAOFISINI NA MAHOTELINI kwa kukupa bidhaa matata sana zitakazoenda kubadili mwonekano wa nyumba yako!! ?kungarisha tiles na masink yalifubaa kabisa na kurudisha mwonekano wake ?kusafishishia makochi ya aina zote leather na kitambaa ?kusafishia kuta za nyumba zilizofubaa ?Kusafisha ma kapet, majiko, microwaves ?product za kufulia zinazofua zenywe na kurudisha mwonekano wa nguo zilizofubaa!! au zinazochuja rangi!! zinaokoa muda na gharama za kufua ?products za usafi wa jikoni pamoja na kuoshea vyombo kwa mahotelini na majumban KWA MAELEZO ZAIDI FOLLOW @kibokoyausafi @kibokoyausafi @kibokoya usafi Call/watsap 0677244966.
|
|
PVC mlango yenye bodi special ambayo ni nzuri na imara karibu Sana whattsap 0652773977
|
|
health_weightconsultanttz inakumbusha mafundisho kwa njia ya mitandao kwa wote wanaotumia program za kupunza uzito, kumantain uzito, kuongeza uzito. Kama unatamani na wewe ufaidike na mafundisho hayo tafadhali consultant us kwa maelekezo program maalum kwa Maharusi( wakike/ wakiume) wakati wa maandalizi ya harusi~andaa size ya shelaa/ size ya suti tembelea health_weightconsultanttz au piga/sms/WhatsApp 0748318008
|