Matangazo mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo na wakati Dar
You need to login to be able to post your things about your business


fredi Furniture Est: 2020 - 4/18/2020 6:22:40 AM
tv show cas tunatengeneza bei p0w kutupata 0673039863 tupo mbezi beach

fredi Furniture Est: 2020 - 4/18/2020 6:21:27 AM
fimbo za kisasa za chuma za pazia tunatengeneza kwa bei p0w 0673039863 kutupata

fredi Furniture Est: 2020 - 4/18/2020 6:20:02 AM
tunatengeneza makabati mazuri sana kutupata o673039863 mbez beach location

fredi Furniture Est: 2020 - 4/18/2020 6:18:32 AM
tv show cas tunatengeneza kwa umalidadi sana kutupata 0673039863 WhatsApp

Chamgongo Aluminium work shop Est: 2020 - 4/18/2020 5:59:12 AM
tunatengeneza Madirisha Milango na Makabati kwa bei nafuu tupigie simu No 0659557284

agripina_decor Est: 2020 - 4/18/2020 5:43:23 AM
0677371469 @agripina_decor

agripina_decor Est: 2020 - 4/17/2020 11:06:00 PM
0677371469

agripina_decor Est: 2020 - 4/17/2020 11:02:30 PM
0677371469

agripina_decor Est: 2020 - 4/17/2020 11:01:52 PM
0677371469

agripina_decor Est: 2020 - 4/17/2020 11:01:05 PM
doormat za kijanja zinapatikana kwetu 0677371469

agripina_decor Est: 2020 - 4/17/2020 11:00:06 PM
0677371469 Wasiliana nasi kwa mahitaji ya mazulia @agripina_decor

agripina_decor Est: 2020 - 4/17/2020 10:58:32 PM
kwa mahitaji ya mazulia yenye ubora wasilina nasi 0677371469

Perfume Est: 2020 - 4/17/2020 7:47:35 PM
WhatsApp/Call 0743555061 kuweka order yako ya perfume tukufikishie popote ulipo kwa bei ile ile.

Perfume Est: 2020 - 4/17/2020 7:43:35 PM
Machui perfume wanakuletea aina mbali mbali za perfume kwa bei nafuu kabisa. pia tunafanya free delivery. WhatsApp 0743555061

Uniquewelderstz Est: 2016 - 4/17/2020 1:14:06 AM
kwa mahitaji ya Bembea, Vutanda, madawati, Balcons, Mageti na samani za chuma tupigie 0717494530

AFRIASTUTE LIMITED Est: 2017 - 4/17/2020 12:36:28 AM
Covid-19 special fumigation. Tunafanya fumigation kwa ajili ya virusi mbalimbali ikiwemo corona. Wasiliana nasi kwa namba 0712 707 517

Mdau stiker Est: 2018 - 4/16/2020 10:40:45 AM
pia tunaweka stiker kwenye magari ya shule badala ya kupiga rangi sisi tunaweka stiker kwa bei nafuu kabisa na linakuwa katika muonekano huu hapa wasiliana nasi kwa namba 0766747115 au 0717131915 karibuni sana tunapatikana mlandizi

Mdau stiker Est: 2018 - 4/16/2020 10:34:30 AM
tuna weka stiker za urembo kwanye magari yote

Mdau stiker Est: 2018 - 4/16/2020 10:25:51 AM
karibu ujipatie kava za steringi za gari kwa bei nafuu tupo mlandizi kwa mawasiliano zaidi unaweza kutupata kwa namba 0766747115 au 0717131915

weneat_clothing Est: 2020 - 4/16/2020 6:36:21 AM
Karibun kujipatia mashat makali ya mtumba,grade one high quality shirts at affordable price.15 elfu tu. delivery inafanyika popote call/ watsup 0652145986.Instagram @weneat_clothing.

SMART AFRICA TRADING CO. Est: 2019 - 4/15/2020 11:34:51 PM
MAFUTA SAFI YA ALIZETI KUTOKA SINGIDA Ni mazuri sana kwa Afya kwani hayangandi mwilini na kusababisa maradhi ya Pressure na Moyo, Pia Hayana harufu mbaya Kwani yamechujwa kwa Mitambo maalum inayoondoa Cholesterol na Harufu yote. Tupo Dsm, Bei ni 18,000/ Tu kwa Lita 5, Jumla na rejareja +255683625140 Tutakufikia ulipo

SMART AFRICA TRADING CO. Est: 2019 - 4/15/2020 11:29:22 PM
TIMBERLAND BOOTS (Casual) Colour: Black Size: 40,41,42,43,44,45 Price: 50,000/ only Contact: +255683625140 Kariakoo,Dsm

Dmicky investment Est: 2019 - 4/15/2020 9:42:47 AM
Ofa Ofa Ofa sasa tunakuwekea Car parking shade kwa bei pungufu ya sh 2200,000 kwa Magari Marilou. Karibu tukuhudumie

Health_weightconsultanttz Est: 2007 - 4/15/2020 7:46:58 AM
zijue nyakati na majiraa! karatina huraaa! kipindi hichi Cha maficho, Ni kipindi kizuri sana ambacho wewe mthamini wa afya yako kuhakikisha kua unakua vizuri zaidi kiafya. zile changamoto dogo dogo za afya zinazokutatiza kuanzia muonekano wa nje Hadi ndani unazishughulikia kikamilifu. kwa udhamini wa health_weightconsultanttz inakuletea huduma Hadi nyumbani na kuhakikisha mafundisho katika mitandao ya kijamii ili kuhakikisha kua unakua Salama na unapata huduma iliyobora kabisa. program za weight management weight loss/gain zipo 1.mama wanaonyonyesha 2.wanandoa 3.maharusi 4. program kwa watu wote *sio dawa ni suppliments, hazina chemicali yoyote.* Ni Salama na hakika kwa afya yako. Imethibitishwa na kuidhinishwa na mashirika makubwa ya afya ya vyakula nchini. #afya kwanza#afya Ni mtaji wako wa kwanza# tutafute kwa mawasiliano zaidi 0748318008

The_martins_store Est: 2019 - 4/15/2020 5:38:41 AM
Kitenge kinapatikana kwa bei nzuri ya tsh 30000tu kukipata whatsup #0624811013

fredi Furniture Est: 2020 - 4/15/2020 4:59:33 AM
tv show cas bei powa sana kutupata 0673039863 WhatsApp

fredi Furniture Est: 2020 - 4/15/2020 4:57:54 AM
tunatengeneza Furniture aina zote kutupata 0673039863 tup mbez beach

Dafus group Est: 2020 - 4/15/2020 4:35:15 AM
T-SHIRT plain available call 0785844547

Dafus group Est: 2020 - 4/15/2020 4:34:09 AM
birthday T-shirt available call 0785844547

Dafus group Est: 2020 - 4/15/2020 4:32:26 AM
pata couple T-shirt family T-shirt## birthday T-shirt## T-shirt za vikundi## T-shirt za maofisini## T-shirt za events## T-shirts plain## kofia plain## Tunaprint business cards## brochures## stikers## barnners## call 0785844547 0659282164

Dafus group Est: 2020 - 4/15/2020 4:26:25 AM
pata organic chia seeds zenye faida nyingi kwenye afya zetu Kama kuhimarisha nguvu ya mifupa, kusawazisha kiwango Cha sukari mwilini, lakini pia chia seeds zitakusaidia kupunguza uzito kwa wanaohitaji kupunguza uzito call 0785844547 0659282164

Mariam Tajiry Est: 2020 - 4/15/2020 1:59:11 AM
jitibu fangasi Sugu na U. T. I sigh Kwanzaa kutumia femicare huondoa harufu mbaya ukeni huondoa miwasho ukeni huondoa miwasho na majimaji yatokanayo na fangasi

DILEX BUSINESS SOLUTION Est: 2015 - 4/15/2020 12:11:48 AM
*DILEX BUSINESS SOLUTION* Kama una wazo la kufanya biashara hapa Tanzania na ungependa kumiliki kampuni yako au jina la biashara lako, huduma yetu ni kukusaidia kufanikisha usajiri wa biashara yako. *OFISI ZETU* Tunapatikana, Mwalimu.J.K.Nyerere Trade Fair ground(SABA SABA), PLOT No.436, BLOCK A, Kilwa Road, Dar es salaam, Tanzania *Contact us* FB PAGE: Dilex business solution Call: 0677084255 WHATSAPP:0742731132 E-MAIL: info@dilex.co.tz Instagram:Dilex business solution

Dexter Insurance Est: 2019 - 4/14/2020 5:43:06 PM
*KWANINI DEXTER INSURANCE* 1. Tunatoa Ushauri Kuhusu bima bure 2. Huduma za Bima ni Masaa 24 kwa Wiki na Tunakufikia popote ulipo 3. Tunasaidia Wateja wetu kufuatilia madai (Claim) wanapopatwa na majanga

Dexter Insurance Est: 2019 - 4/14/2020 5:42:28 PM
*KWANINI DEXTER INSURANCE* 1. Tunatoa Ushauri Kuhusu bima bure 2. Huduma za Bima ni Masaa 24 kwa Wiki na Tunakufikia popote ulipo 3. Tunasaidia Wateja wetu kufuatilia madai (Claim) wanapopatwa na majanga

Dexter Insurance Est: 2019 - 4/14/2020 5:41:41 PM
KWANINI DEXTER INSURANCE 1. Tunatoa Ushauri Kuhusu bima bure 2. Huduma za Bima ni Masaa 24 kwa Wiki na Tunakufikia popote ulipo 3. Tunasaidia Wateja wetu kufuatilia madai (Claim) wanapopatwa na majanga

MBIRU LOGISTICS COMPANY LIMITED Est: 2020 - 4/14/2020 12:29:55 PM
Make:TOYOTA Model:VITZ Chassis:SCP100237788 Engine capacity:990 Fuel:PETROL Price :Mil 7 Note:GARI AINA TATIZO LOLOTE HAIJAWAHI KUGONGWA WALA KURUDIWA RANGI INA FULL DOCUMENTS =

bright_furniture_tz Est: 2020 - 4/14/2020 8:47:48 AM
call 0787835979 whatsp 0657066467 or follow @brigtht_furniture_,tz

SMART AFRICA TRADING CO. Est: 2019 - 4/14/2020 5:36:14 AM
Sandals Kali ya Leather kwa Wanaume Size: 40,41,42,43,44, & 45 Colour: Black & Brown Price: 27,000/ only Contact: +255683625140 We do Delivery

SMART AFRICA TRADING CO. Est: 2019 - 4/14/2020 5:29:42 AM
Sandals Kali ya Leather kwa Wanaume. Colour: Black & Brown Size: 40,41,42,43 & 45 Price: Tsh. 27,000/ Only Contacts: +255683625140 We do Delivery..